Lumia 640 dual lte

Naisubiria kwa hamu kweli specs zake nimezipenda..,labda mkuu chief mkwawa anaweza kutusaidia na wengine@Punnisher.
 
.
.
.
.
.
.
.................
 
Nimejaribu kufuatilia jana na siku mbili tatu za nyuma sijaiiona, nilitegemea kupata airtel shop wameniambia bado. Midcom kariakoo waliniambia mwezi wa nne itakua tayari nimeenda pale mara mbili duka limefungwa nimeambiwaa wamehahama. Sijui Midcom maduka yao yapo wapi tofauti na kariakoo
 
Mikocheni ipo
bulldog said:
Nenda Midcom, mikocheni kama unapanda daladala na unatokea morocco omba msaada kwa mwinyi
 
Mbona hii simu ni ya kawaida sana kulingana na specifications zake
 
Kwa specs zake ,linganisha na simu za Samsung,ndio utajua unafuu wa window phone.
Bei rahisi na kwa quality.
 
Sehemu chache sana ndo imefika lakin I recomend ununua mahala kama Ebay au Amazon itakuwa cheap kidog
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ