Lulu michael: Nipo Single, Sina stress

Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
133,902
Points
2,000
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
133,902 2,000
Mkuu povu la nini huu ubuyu mrefu kama hufahamu uliza.
Majizzo siyo "ladyboy" ambaye ni feminine gay/trans male. Uwe unaheshimu watu. Mjinga wewe.
Au soma hapa utaelewa
Anataka kum force Majizo amuoe haraka maana wale kina Dozen wanamnyima usingizi, ila nae ana roho aisee haogopi kuna wakati nae ataambiwa nyuma geuka?! maana nasikia mtu akizoea haachi.
 
F

FK21

Senior Member
Joined
May 27, 2019
Messages
120
Points
225
F

FK21

Senior Member
Joined May 27, 2019
120 225
Wakati wanazengo wakisubir kwa hamu harusi ya super staa kutoka katika kiwanda cha bongo movie , Elizabeth Michael , maarufu kama Lulu, Mwanadada huyo amepost video kwenye insta story yake ikiambatana na caption inayosomeka hivi “ Umekaa zako umetulia tuliii....Huna stress upo single , unakula bata, halafu kaka mmoja BOOM anakufanya u fall in love , bro hupendi maendeleo ya kina dada au ?” Aliandika hivyo lulu michael bila kufafanua zaidi kama huenda hiyo caption inamhusu yeye au ilikua ni Kiki tu.

Wanazengo wametafsiri caption hiyo kama ishara ya red light , huenda suala la ndoa halipo tenaView attachment 1124990
Kusema tu huna stress ni stress tosha
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,498
Top