Yule jamaa wa efm ndo pedeshee duuuh
Kwani wamepaka nini usoni?
Jamaa anaweza kuwa sawa na hata mgambo wa jiji tu kwa kua mizigo yenyewe ni mibovu yote miwili.INAOnekana jamaa yupo vizuri....
kwani wamekuwa nyumba?Foundation
Majizo mwenyewe sura nzito labda kama faragha yuko vzuri mmmh lakin sura hapana