Lukuvi na Nape Wamethubutu

Hapana mvuto
 
Kitendo cha kijana daudi kujibebesha kesi za sembe kwa mbwembwe za juu ni dalili za mwenye mamlaka yake kupwaya au kuzembea kusimamia kazi zake sasa wacha wachanganyane tuu hakuna namna kila mtu anaonyesha yeye ndie kila kitu one man show tatizo mnapokuwa six men hapo ndipo mchanganyiko ulipo.
 
Muda si mrefu neno BASHITE litageuka na kuwa tendo la MTU ALIYEPATA SIFURI KWENYE MTIHANI kama ilivyokuwa enzi za kihiyo
 
Kwa suala la mawaziri na Makonda nakuunga mkono kwa Corner Bar acha wafungiwe na sio hao tu Waende Bar nyengine zinazofuga mashoga na machangudoa, Hapi ana umakini katika maamuzi yake,sorry kama ulikosa huduma mkuu.
Bar itafungwa (may be imeisha fungwa) but umejiuliza swali hili; " baada ya bar hiyo kufungwa, hao machangu wataenda wapi?" Obvious wataenda sehemu/bar nyingine; so kumbe jibu sio kuifungia hiyo bar bali ni kuisambaratisha hiyo biashara ya ya uchangu mjini.
Moja kati ya sababu ya kwanini hizi nchi masikini hua hazitoki mahala zilipo ni hi; tunapenda ku deal na symptoms za tatizo na sio kutibu tatizo lenyewe; yaani mtu ana malaria and umejiridhisha kabisa pasipo shaka kua huyu mtu anaumwa Malaria, badala ya kununua Mseto we unaenda kununua panadol; yes it is true kwamba HOMA itashuka kabisa kwa mgonjwa wako but still wadudu wa malaria watakua wanaendelea kufanya kazi yao, mgonjwa huyo huyo malaria ikipanda kichwani tunashangaa why mgonjwa malaria imepanda kichwani!!!!? That is how we are!!!
 
Kwa suala la mawaziri na Makonda nakuunga mkono kwa Corner Bar acha wafungiwe na sio hao tu Waende Bar nyengine zinazofuga mashoga na machangudoa, Hapi ana umakini katika maamuzi yake,sorry kama ulikosa huduma mkuu.

Mimi sikubaliani na wewe. Pale corner bar makahaba wanajaa mtaa mzima tena wengi wala hawahusiki na biashara ya corner bar. Kwa hiyo mlitaka mwenye baa afanye kazi ya polisi? Mbona Jolly club haijafungiwa?
 
Ni kweli brother, na Kama ndivyo basi hata hapo Dodoma Pindi bunge likianza vikao huwa Malaya wanajaa kila kona ya huo mji, kwa hiyo tuseme basi na Bunge lifungwe? Ifike mahali viongozi wafanye kazi kwa weledi. Hii mihemko haitatufikisha popote
Umepiga katikati mkuu,wenye kusoma wasome
 
Bravoooo Nape!!! umethubutu tunahitaji viongozi wa namna hiyo wasio na woga wala unafiki wanasimamia weledi na wasiyoyumbishwa. Ndalichako uko wapi? toa msimamo wa Daudi Bashiteee!
 
Urban Dictionary?
 
Kwa suala la mawaziri na Makonda nakuunga mkono kwa Corner Bar acha wafungiwe na sio hao tu Waende Bar nyengine zinazofuga mashoga na machangudoa, Hapi ana umakini katika maamuzi yake,sorry kama ulikosa huduma mkuu.
Hapi ana umakini upi?
Mwenye Corner Bar anafanya biashara yake kama alivyoomba leseni yake sasa yeye aache biashara yake akahangaike kufukuzana na machangudoa?

Serikali iko wapi?
Uwe unatumia akili otherwise nyie ndiyo walewale mliongia mjini kwa msaada wa Dada zenu.(Shemeji)
 
Jamani wapi Lukuvi kamchana au kumtuhumu Makonda? Matokeo ya kusoma heading halafu unakimbilia JF uwe wa kwanza kuanzisha thread. Duh!
 
Nape anatafuta kiki tu, kaona Makonda ninhakunaga wivu juu.
 
Maji yatatafuta njia yake hayatapanda mlima. Machangu watatafuta maeneo mengine mwenye baa ana mkataba gani nao?
 
haya bwana, kwahiyo wema ndiyo Dira?
 
Ni jambo jema pia muhimu wakumbuke pia kuwasaidia kuwalipia marejesho ya kodi maana ukifika mda wa marejesho ya kodi toka mamlaka husika hawakuelewi kuwaambia nilifungiwa biashara wanachotaka ni kodi yao tu,liangaliwe hilo pia.
 
usimsahau Mbowe na Gwajima, bashite sio wa kumchekea chekea atakuvua nguo hadharani. dawa akimwaga mboga we we mwaga ugali
 
posti hizi zingine yaani zinachefua sn lkn ndo hivo kutifautiana, mtu analesseni ya kuendesha bar na watu kujiuza kweli! hiyo akili au matope, kwavile analeseni basi biashara ya kujiuza ruksa, akitokea mtu kuchukua hatua huita mpenda sifa; hizi ni siasa za kijinga na ni upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…