Kitengo cha ardhi Manispaa ya Morogoro ni jipu sugu, baadhi ya watumishi wamejilimbikizia viwanja kila kona ya mji, nashauri ukaguzi ufanyike kuwabaini na kuwanyang'anya viwanja wanavyohodhi bila kuviendeleza kwa miaka nenda rudi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.