kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
Hivi sisi ni watu wa aina gani?
Kama daladala ambalo limeundwa kwa ajili ya kubeba watu, matumizi ya mafuta ni kidogo, yanakataa kubeba wanafunzi. Leo hii unaruhusu malori, ambayo hayana hata safety measure yoyote kubeba abiria, yanatumia mafuta mengi zaidi, eti wabebe wanafunzi.
Swali:"Haya malori yatabeba wanafunzi bure au kwa gharama?"
Kwanini kusiwe na mpango madhubuti wa kusajili magari (daladala) ambazo kazi yake ni kubeba wanafunzi @ a given time range with incentive kutoka serikalini kusuluhisha hii ishu?
Ukiangalia kwa wenzetu ni rahisi ku-control internal affairs kwa sababu watu wao wanatambulika. Sisi karibu tunatimiza miaka 50 ya uhuru lakini hatujui hata nani ni raia na nani ni mgeni. Budget zetu si halisi. Yaani tunakurupuka tu na mambo.
AAAGH! BONGO INANIKERA SANA!
Hivi sisi ni watu wa aina gani?
Kama daladala ambalo limeundwa kwa ajili ya kubeba watu, matumizi ya mafuta ni kidogo, yanakataa kubeba wanafunzi. Leo hii unaruhusu malori, ambayo hayana hata safety measure yoyote kubeba abiria, yanatumia mafuta mengi zaidi, eti wabebe wanafunzi.
Swali:"Haya malori yatabeba wanafunzi bure au kwa gharama?"
Kwanini kusiwe na mpango madhubuti wa kusajili magari (daladala) ambazo kazi yake ni kubeba wanafunzi @ a given time range with incentive kutoka serikalini kusuluhisha hii ishu?
Ukiangalia kwa wenzetu ni rahisi ku-control internal affairs kwa sababu watu wao wanatambulika. Sisi karibu tunatimiza miaka 50 ya uhuru lakini hatujui hata nani ni raia na nani ni mgeni. Budget zetu si halisi. Yaani tunakurupuka tu na mambo.
AAAGH! BONGO INANIKERA SANA!
hii habari imenitia kichefuchefu kabisa! Kuna mahala fulani humu jf nimesoma kwamba lukuvi aliishia darasa la saba, nikaona watu sasa wanaongeza chumvi. Ila sasa nimeamini. Hatimaye nimeanza kupata mwanga wa tatizo letu watanzania kutokuwa na maendeleo ni nini. Tatizo ni kuwa na viongozi vilaza!!!
Lukuvi amefikiria mbali!
MNAOCHONGA BILA KUKUTANA NA HALI HALISI HII NI SALAMU YENU.....!
HEBU PATA WASAA WA KUTEMBELEA HIZO SHULE.......ANGALIA MAZINGIRA KUANZIA ASUBUHI MPAKA JIONI.....!
HALAFU NJOO HAPA JF HUKU VIDOLE VYAKO VIKIWA NA HAMU YA KUBOFYA NA UKICHUKUA NAFASI YA MTOA MAAMUZI UONE NI USAFIRI GANI UTARUHUSU KWA VIJANA WALE.....!
Hali ya usafiri kuelekea njia ile ni ngumu mno, hayo malori yanayozungumziwa ni kwa sababu yanaenda shamba ama kufata mchanga......!
na wakato yanaenda yanaenda tupu...ni vigumu kuwapita wanafunzi huku nawe unaelekea huko huko......!
AU WAPINGA MADA MPO ALASKA NINI?
Mkuu mahesabu naona wewe ni mwenzangu na mimi wa ''MANEROMANGO''......! watu wanazungumza tuuuuuu hawajui hata what is going on here!
Kuna maeneo mengi sana ya pembezoni mwa jiji la Dar, huko hata dala dala moja haliendi ni malori ya mchanga, macanter ya mihogo basi.....huko, zimejengwa shule za kata.....na mpk sasa (b4 hilo tamko la Lukuvi) tayari wanafunzi usafiri wao mkuu ni hayo malori......kilichotokea hao wenye malori wamelalamika kwa RC kwamba wanakamatwa na Traffic kwa kupakia wanafunzi tena bureeeee......so RC anakuja na temporaly vibali, ili hawa wenye malori wasikamatwe wakati wanatoa msaada huo.....sasa mnataka hao watoto waende vipi shule for now?
Kama serikali imeshindwa kupeleka huko walimu, vitabu, maadara, madawati etc, do you expect inaweza nunua mabasi ya kupeleka huko wanafunzi? Mnaona mtokeo ya FIV ....65,000 ni zeros??????? can't you figure out what is happening huko kny hayo mashule mazee?[/QUO
nakubaliana na wewe hapo kwenye bold,mazingira yanachangia,nakumbuka zamani tulikuwa tunatumia toyota hilux pick up kwenda shule,kanisani shamba etc but nchi nyingine pick up hairuhusiwi kubeba abiria kule nyuma!kwahio tuangalie mazingira yenyewe kabla ya kulaumu,sehemu nyingine usafiri ni tractor tu je utapiga marufuku then watu watembee kwa miguu?
He must be joking. Hii nchi mbona ina mazingaombwe kupita mazingaombwe yenyewe kwa kweli hii ni kali ya mwaka 2010. Kuwapakiza watoto kwenye malori wakati wao wanaendesha magari ya kifahari kwa nini waziuze hayo magari yao wananunue usafiri kwa shule hizo period. Kuna waziri yeyote au mkuu wa mkoa yeyote wa Tz. atakubali mtoto wake apandishwe kwenye lorry? Lukuvi waonee imani na huruma watoto hawa sema jingine kwa hili umechemsha kidogo ndugu mheshimiwa
10th February 2010
Lukuvi alisema vitatolewa vibali kwa magari yatakayoomba kutoa huduma hiyo kupitia kwa mkuu wa wilaya ili Polisi wa Usalama Barabarani wasiyakamate.
.
Bado haijaniingia akilini yani mwenye Gari aende kuomba kibali cha kupakia waafunzi bure...au?tayari wanafunzi usafiri wao mkuu ni hayo malori......kilichotokea hao wenye malori wamelalamika kwa RC kwamba wanakamatwa na Traffic kwa kupakia wanafunzi tena bureeeee......so RC anakuja na temporaly vibali, ili hawa wenye malori wasikamatwe wakati wanatoa msaada huo.....sasa mnataka hao watoto waende vipi shule for now?