nachoka kabisa na huyo Lukuvi mwambie aombe mwongozo ndo shughuli zake. hawana hata huruma watu waliopotoza maisha. hapa sasa idadi ya watu itakuwa tofauti mara 220, 290 hao sumatra kazi yao nini. hali ya hewa jana upepo ulikuwa mkali sana inamaana hamna wakuongoza kila mtu anafanya atakalo.