Mwandishi anajua kuwa majibu yapo TANESCO lakini nadhani amelileta hapa kwa kuamini kuwa magreat thinkers wanaweza kumpatia msaada hata kabla ya kwenda huko TANESCO. Ndo maana mtu unakuta analeta maada ya ugonjwa na watu wanamsaidia kama ni hivo si wangemuambia aende hospitali. Kwa hiyo watu huleta mada hapa kwa sababu wanajua watapata majibu ya uhakika na ya haraka kuliko kufunga safari na kwenda sehemu husika