Lukosi aliyeiba mabilioni TBS avamia Bandari

Chris lukosi alikuwa mwenyekiti wa chadema Uk akaunga mkono juhudi baada ya kumpa kesi Godbless lema ya kumbaka Flora mbutananga, akaanza kuitukana chadema na viongozi wake kwa speed ya kutosha kumbe anafanya yake nyuma ya pazia no wonder siku hizi yuko kimya kule facebook
 
Huyu Chris Lukosi ni sawa na mtu ambaye mchana ni malaika na usiku ni shetani. Familia yetu imemshiba Bwana Yesu Kristo,alipomuhujumu ndugu yetu tukamfuatilia Hutu Chris kila kona kawachafua watu wengi sana, na kuna mambo tukiwaambia serikali basi pamoja na Rais wetu Mama Samia kuwa ni mtu mwenye hofu ya Mungu ataridhia adhabu kubwa kuliko zote apewe huyu Lukosi,wizi wa TBS ni kitu kidogo kuliko maofu ayafanyayo, naogopa kuandika kila kitu kwa hofu ya Bwana Yesu.
 
Chris Lukosi ni mtu wa ajabu sana, kwanza alitoa clip mbili kuishambulia Bandari na Serikali ya awamu ya sita halafu akatoa clip nyingine kusema kuwa kaongea na uongozi wa Bandari na kila kitu kiko sawa akasema serikali yetu Sikivu,
Juzi kamtuma mtu mwingine aongee kwenye clip kuishambulia Bandari tena, wakati huko nyuma alisema kishaongea na Bandari na kila kitu kiko sawa. Ukitaka kujua ni ndumilakuwili kamtuma mtu kuilamu tena Bandari na walichokosea huyu mtu alijifanya kama ni mfanyabiashara ambaye yuko mwenyewe lakini akajisema kuwa hapa niko Tanganyika shipping lakini mwishoni akataja yuko Serengeti shipping yaani kwa Lukosi,nadhani walisahau ku edit. wazungu wana msemo wao liars should have good memory,masikini wamesahau nyuma alitaja Tanganyika.
 
Huyo Chris Lukosi hana lolote zero tu sema ana connection na wajinga wajinga serikali waliomsaidia kukwepa ushuru . usijekuta sasa hivi kabanwa ndio maana anapiga kelele za bandari sijui nini. Mjinga mmoja mshamba kashika pesa za kukwepa kodi ukubwani.
 
Chris Lukosi ni mtu wa ajabu sana, kwanza alitoa clip mbili kuishambulia Bandari na Serikali ya awamu ya sita halafu akatoa clip nyingine kusema kuwa kaongea na uongozi wa Bandari na kila kitu kiko sawa akasema serikali yetu Sikivu,
Juzi kamtuma mtu mwingine aongee kwenye clip kuishambulia Bandari tena, wakati huko nyuma alisema kishaongea na Bandari na kila kitu kiko sawa. Ukitaka kujua ni ndumilakuwili kamtuma mtu kuilamu tena Bandari na walichokosea huyu mtu alijifanya kama ni mfanyabiashara ambaye yuko mwenyewe lakini akajisema kuwa hapa niko Tanganyika shipping lakini mwishoni akataja yuko Serengeti shipping yaani kwa Lukosi,nadhani walisahau ku edit. wazungu wana msemo wao liars should have good memory,masikini wamesahau nyuma alitaja Tanganyika.
Huyu chris Lukosi ni dabble standard maana mara ya kwanza alionekana kuponda bandari halafu akatao clip nyingine ya pili ya kuonekana kuwa anaisifia bandari
Huyu watu wanamjua sana alikuwa analindwa na Kakoko aliyekuwa kuwa DG wa bandari na ni mtandao wa Kakoko
Mpaka sasa anatumiwa na baadhi ya wafanyakazi wa bandari ambao walikuwa upande wa Kakoko na ku sabotage baadhi ya mambo

Wanashangaa kuona Bandari inaingiza mapato mara dufu tangu Rais samia aingie madarakani Bandari yetu imeongeza mapato kwa asilimia 12% ukilingajisha na mwaka 2020

Hii inatokana na kazi kubwa sana aliyofanya Rais wa awamu ya sita Samia Suluhu Hassan katika kuimarisha Diplomasia ya uchumi ambapo Rais alivyoingia madarakani alitembelea nchi wanufaika wa Bandari zetu yaani (Central Corridor countries) kama Rwanda, Burundi, Congo, Zambia ambao ndio wateja wetu wa kubwa

Kutokana na ziara hizi zimeweza kujenga good will kubwa sana kwa sababu mizigo haikai sana kwenye storage kama kipindi cha nyuma na ule utaratibu wa kupanga tracks kwa ajili ya kupakia mizigo umeimarishwa pale bandari

Pia Mh Rais amenunua mitambo ya kisasa kwa ajili TEHAMA ambapo kipindi cha nyuma kulikuwa hakuna

Chris Lukosi yupo kwenye kazi maalumu ya kutaka kumchafua na kumfanyia fitina Mkurugenzi mkuu wa Bandari bwana Erick Hamisi ili aondolewe kwenye nafasi yake

Kwa hiyo napenda kuwashauri Bandari wawe makini na mtu huyu .Mwaka 2012 aliwahi kutumika hivi akafanikiwa kumfanyia fitina aliyekuwa kuwa waziri wa viwanda Biashara wakati huo bwana sirily Chami mpaka akapigwa chini
 
Siku akija bongo inabd umtimbie mikochen kwenye yard yake
Sema jamaa mchapakaz sana
.muaminifu kwa wateja zake
Mnyongemnyongeni haki yake mpeni

Ova
Ndigu yangu mbona hueleweki Huyu Lukosi kawaibia TBS mapesa yote, hawa TBS walikuwa wateja wa Lukosi na wameibiwa, vipi wewe hapa useme ni mtu muaminifu kwa wateja?
Kila mtu anatakiwa kuwa mchapakazi kwa njia za halali na si wizi,
Mchonge yupi kaonewa hapa?TBS au Lukosi?
Au Lukosi ni shemeji yako?
 
Back
Top Bottom