Lukas Sankara ashinda kura za maoni Kalenga

Magesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
2,597
Reaction score
622
Mwanasheria wa Chadema nyanda za juu kusini wakili msomi Kamanda Lukas Sankara ameshinda kura za maoni zakuwania tiketi ya kuwania kiti cha ubunge kwa tiketi ya CHADEMA katika Jimbo la Kalenga baada ya kuwashinda wenzake 12 jioni ya leo.


=========================
Habari zaidi na Picha
=========================



 
Hongera kamanda, tunakutakia kilalakheri katika mpambano dhidi ya uongozi wa kifamilia, wakomboe wanakalenga kamanda, na nyie wanakalenga mmempata kamanda mpambanaji, mtumieni, kataeni utawala wa kifamilia kama walivyokataa wenzenu wa Arumeru mashariki, walimchagua Joshua Nathali, leo wanaonja matunda waliyakosa kwa muda mrefu dhidi ya wakoloni weusi ccm, msituangushe wanakalenga, tuongezeeni mbunge mwingine ashirikiane na Mh Msigwa, wenzenu wa Njombe si mmeona walichofanya, hicho ni kipimo kwenu kuonesha kwamba mmeerimika au bado.
 
awezeshwe kwa HALI na MALI , HATUTAKI KABISA USULTANI NCHI .
 
ngoja niangalie mechi ya man vs asenal nitarudi
 
Namtakia pole in advance...

Sisimizi kapewa kazi ya kumsukuma Tembo.
 
naenda kuuza sura tu lakini uwezekano wa cdm kushnda haupo
 
kitacho sukuma tembo sio sismizi ni kile kilicho ndani ya sismiz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…