Sio vitu Rasmi lakini vipo miaka yote na vinafahamika, ni kama Sera hivi, wanaita Sera za kutompa nguvu mpinzani wako Mara nyingi Title contenders wengine, kama Azam wangekuwa na Sera hii wasingeuza kina Manula,Kapombe,Nyoni, Wawa na Boko kwenda Simba.