Kuna video ya mazoezin pia inazunguka twitter kwenye mazoez hata pasi hawampi kabisa na wanajitenga nae bado naona hakuwa chaguo la uongoz zaid ya kocha pitso tu
Hivyo ni vitu vidogo sana kuanza kuvijadili kama indication ya ubaguzi
Nikweli waarabu ni wabaguzi ila hizi videos zinaweza kuwekwa kimitego tu watu waingie kwenye mjadala kujadili jambo ambalo halipo
Mfano utakuta hapo kulikuwa ni video ya dakika 20, dakika 19 zote zilionesha miqose anacheza mpira akipasiana na hao, lakini sekunde 10 zalilizofuata hakupewa mpira
Watu wanaotaka kufikisha habari wanayoitaka hawezi kukuwekea hiyo clip ya dakika 19, wataweka hicho ki clip cha sekunde kadhaa tu.
So kuna mengi yakusema lakini kwa hili bado haitoshelezi kusema jamaa anabaguliwa though sipingi kwamba haiwezekani.
Mzungu hajabaguliwa ila anaburudisha yeye na mandonga wapo katika lane moja
Wanaburudisha na kuifariji jamii ktk kipindi hiki cha misukosuko ya vita ukrine na kupanda gharama za maisha