HAZINA YETU
Senior Member
- Mar 29, 2013
- 174
- 33
Hebu mkuu tutendee haki wanamichezo, tupe chanzo cha taarifa yako.

habari iko wazi mkuu kwenye vyanzo vingi ila imeanzia metro:kama vp cheki coughtoffside.com au daily mail

suarez nyie ndio munamsumbua mkuu mwacheni dogo akacheze mpira kachoka kukimbiakimbia uwanjani kama anacheza Rugby.bora mmchukue huyo mctusumbue na suarez wetu
you what this guy is a loser uzushi mtupu huo hizo story za kahawa
huyu babu wenger sitaki hata kumsikia simpendi huyo mzee km nn yani majigambo yooote yale kuwa mwaka huu tutatisha kwenye soko la usajili mpaka sasa hatuna hata uhakika wa kumpata hata nyota mmoja mm ni arsenal fan lkn naitakia arsenal msimu mbaya kuliko yote mwaka huu

Kashasajiliwa na timu nyingine jerumani kule...porojo za arsenal msimu huu nmezikubali
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums