Luis Enrique amfungulia milango Francesco Totti Barca.

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,734
239,355
Hayo ameyabainisha baada ya kuhojiwa na waandishi wa habari kama anaweza kumpa nafasi mkongwe huyo mwenye miaka 39 ambaye anazidi kung'ara pamoja na umri kumtupa mkono , kama barca ilivyofanya kwa Henric Larson akiwa na miaka 32 mwaka 2004.

" Why not ? If they sell him cheap ! "

My Take - kuna haja ya timu ya Taifa ya Italia kumrudisha kundini mkongwe huyu ili aokoe jahazi .
 
inaonekana moyoni unaipenda Barcelona maana marakwamara umekuwa unaihadithia jukwaani
 
Hapana mkuu , mimi ni simba -Ukawa , sisi ndio tulimfungisha virago aden Rage , haya mengine ni kwa vile tu inabidi tulete kwa wadau zikiwa bado moto , ili Jf iendelee kuwa ya mwanzo kuleta habari .
 
Luis Enrique wakati anafundisha Roma aligombana na Toti na ni moja ya sababu za Enrique kutimuliwa na Roma
 
Totti amecheza Azzuri na Del Pierro,Inzaghi,Pirlo,Canavaro,Nesta,Gattuso,Materazi,Zambrotta akirudi now kuja kucheza na kina Baloteli,Zaza atakuwa anajishushia heshima yake
 
Hivi baloteli bado anachezea timu ya Taifa ?
 
Kama kuna aliyecheki mechi ya Villareal na Liverpool...kuna player anachezea Villa real aitwae Denis Suarez position yake (Attacking midfielder)yule dogo ni noma anatufaa pale Barca

Cc: PNC
 
Umeona vyema mkuu huyu mtoto si hio game tu. Game zote ni moto
 
Gud96..Duh nilikuwa simjui vizuri huyu dogo.. nimecheki game ya jana na liverpool aisee ni hatari anawachambua mabeki...enrick afanye mambo tumchukue

Kamfukuzia sana January huyo.ila tuna buy back clause so itatusaidia tukitaka mnunua. Ila yupo vizuri bhana. Na he is still young
 
Back
Top Bottom