Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Kutokana na changamoto za msaada wa kisheria zinazodaiwa kuwakabili wakazi wa Jimbo la Bukene, Mgombea wa Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) John Luhende, ameahidi kuanzisha dawati maalumu la kisheria na kuajiri wanasheria kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wa Jimbo hilo.
Luhende ameyabainisha hayo Oktoba 24, 2025 wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Uduka iliyopo Jimbo la Bukene wilayani Nzega mkoani Tabora
"Tutaanzisha dawati maalumu la kisheria la kuwasaidia wale wananchi wasiokuwa na uwezo wa kupata wanasheria kwenye changamoto mbalimbali wanazopitia kwenye maisha, wanasheria hao watalipwa na Mbunge ", Luhende amesema.