Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
- Thread starter
-
- #21
Nadhani hamjamsoma jeykey nyie, huyu siku zote ni Jk.
Anachotaka kumaanisha hapa ni kumsafisha Jk kua alikua hana taarifa na aliyoongea Luhanjo.
Ukweli tunaufahamu, (watanzania tulishaamka) kua alikua anapima upepo. Wabunge, vyombo vya habari na wananchi wasingepiga kelele, Jk angekaa kimya. Baada ya kuona upepo unavyovuma, ikabidi ajisafishe kwa namna hiyo. All in all, seriali ya magamba ni Comedy tu, hamna kitu.
maamuzi yamefanyika RAIS WETU MPENDWA AKIWA HAYUPO OFISINI
umeuliza vema. Bw. Luhanjo amefanya kazi na rais wetu mda mrefu kazi kabla ya kuwa Katibu mkuu. Rais alipomchagua alijua anchagua mchapa kazi. Lakini sasa Rais yatosha kwa mtu huyu. Mengi ameharibu nasi tulikuwa kimya. Ilani yetu ni hii kwa rais wetu tunapolalamika sisi watendewaji basi na uyaweke malalamiko yetu kwenye notibuku yako ambayo hata Katibu wako Mtawa hayaoni. Kisha tuma vijana wa kazi wakuletee ukweli. Make good use of them. Usinyamaze kama Late Nyerere alivyolinyamazia suala lako la kule Monduli.Mkuu ni nani aliowachagua hao watendaji wasiofaa na ni nani anaweza kuwafukuza...
Au kufaa kwa kiongozi kunapimwa vipi
........FUKUZA hawa wazee ofisini kwako ikiwemo ngereja na Ludovic....
Hapo kwenye Red...sikubaliani na wewe.......mimi nimepoteza imani nae....hana kauli kabisa,yupo kimya mno.hao wasaidizi amewateuwa yeye mwenyewe kisha anashindwa hata kuwa wajibisha pale wanapokosea.......ama anawaonea haibu?Ushikaji kwenye kazi ni sumu-yeye(mkuru) halitambui hili?Kwa hilli Luhanjo ametukatisha tamaa, inauma inauma inauma saana kwamba
hakuna mawasiliano kati ya Rais wetu mpendwa na Luhanjo, Haiwezekani jana mtu
anaingia ofisini (Jairo) na leo anatolewa. Hii inaonesha kuwa serikali yetu haifanyi kazi
Rais wetu tunakuamini hawa wasadizi wako wanakushushia hadhi ona sasa watanzania
wanaanza kukudharau, kama utachukua uamuzi wa busara na makini FUKUZA hawa wazee
ofisini kwako ikiwemo ngereja na Ludovic
KUSEMA KWELI KWA HILI MMETUVUNJA MOYO