DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama cha Act- Wazalendo Luhaga Mpina amesema kuwa wananchi waodai No Reforms No Election, wanaotaka kulinda kura, wanaotaka kuandamana, na wale wenye kesi za kisiasia wasikilizwe haraka sana kabla ya Oktoba 29, 2025.
Mpina ameyasema hayo leo Oktoba 27, 2025 wakati akizungumzia rufaa yake alaiyoikata katika mahakama kuu masijala ya Dodoma.
Mpina ameyasema hayo leo Oktoba 27, 2025 wakati akizungumzia rufaa yake alaiyoikata katika mahakama kuu masijala ya Dodoma.