GE2025 Luhaga Mpina: Nimekihama CCM kwa sababu kimekuwa chama cha uonevu na dhuluma

GE2025 Luhaga Mpina: Nimekihama CCM kwa sababu kimekuwa chama cha uonevu na dhuluma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema amekihama chama cha Mapinduzi (CCM ) kwa sababu kimepoteza msingi wake, muelekeo na kuwa chama cha uonevu na dhuluma kwa wananchi usiku na mchana.

Soma Pia: Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM

Luhaga Mpina Amezungumza hayo katika mkutano wa hadhara ulifanyika Jimbo la Kisesa

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom