SAFINA SALIMU
New Member
- Aug 26, 2025
- 2
- 0
Mwenezi ACT alitoa vifungu vinavyoonesha kuwa hana vigezo vya kugombe urahisi. Katika katiba ya ACT vifungu vifuatavyo vinamuengua
16(4)(I) Awe mwanachama wa ACT kwa muda usiopungua mwezi mmoja kabla ya tarehe ya mwisho ya uteuzi wa mgombea.
16(4)(iii) Awe tayari kutangaza mali binafsi na vyanzo vyake kabla ya kuteuliwa kugombea kwa kufuata utaratibu ulioainishwa katika sehemu ya vi ya ngongeza ya katiba ya ACT-wazalendo.
16(4)(iv) Awe ni mtu aliyethibitika kuielewa itikadi, falsafa, misingi na sifa za ACT wazalendo na aoneshe utayari wa kusimamia na kuiishi...... OKTOBA TUNATIKI ✅ ✅ ✅🔥🔥
#haijapatakutokea
#tukawashangaze