Usiwe na jazba mwache Makamba afanyekazi yake naye ni wakati wake Makamba anatosha. Ulipima samaki kwa rula waliopikwa, ulichoma nyavu za wavuvi kwa uonevu, uliharibu mifugo ya wafugaji nani alikuhoji acheni roho mbaya. Kukatika umeme hakuanza Makamba hata kipindi cha nyuma ilikuwa ni zaidi ila taarifa zilizuiliwa kabisa. Tusijifiche kwenye kivuli cha jambo la kitaifa mnachokifanya mnakijua Mungu anawaona.