Luhaga Mpina apendekeza iundwe tume huru kuchunguza katikakatika ya umeme

Hivi kweli kipindi cha JPM walikuwa wakifanya matengenezo na umeme ulikuwa haukatiki?

Yaani walikuwa wanafanya vipi matengenezo bila kuzima umeme? Ninavyojua mimi ni kwamba wakati wa kufanya matengenezo lazima umeme uzimwe kwa ajili ya usalama. Sasa wao waliwezaje kutengeneza nguzo, transformer, transmition lines na umeme unawaka nchi nzima?

Kumbuka hatuna miundombinu ya kusema kila line ya umeme, iwe kubwa au ndogo ina diversion line, na wala transformer zetu na substations hazina back up. Sasa waliwezaje wezaje?

Hivi hii logic imekaaje wakuu? Naombeni mnifahamishe.
 
Mbunge wa jimbo la kisesa Mhe. Luhaga J. Mpina ameshauri iundwe tume teule ya Bunge ili kuchunguza kukatikakatika kwa umeme mara kwa mara.

Mhe. Mpina amehoji Tanesco iliwazaje kutoka kukusanya Bilion 72 kwa mwezi ila Tanesco ilisimamiwa vizuri na kufikisha makusanyo Billion 160 kwa mwezi ambapo mwaka 2021 Tanesco imekusanya Trillion 2.4 amehoji sababu za kushindwa kutenga hela ya matengenezo inatoka wapi? Tanesco ilikuwa na madeni sugu Billion 272 kwa mwaka 2015 lakini Serikali iliisimamia vizuri na wakalipa madeni mengi mpaka yamebaki Billion 49 hizo hela ya matengenezo wanakosaje?

Tenesco wameweza kufanya kazi nzuri mpaka tukafikia kuzima mitambo ya mafuta ya IPTL, AGRECO na SYMBION ambayo ilikuwa inawaghalimu Billion 719 kwa mwaka, leo wanakosa hela ya maintanance?

Mhe. Mpina ameyasema hayo leo Februari 16,2022 Bungeni jijini Dodoma wakati akichagia hoja kuhusu taarifa ya mwaka ya shuguli zilizotekelezwa na kamati ya kudumu ya Bunge ya uwekezaji wa mitaji ya umma(PIC)Kwa kipindi cha kuanzia januari,2021 hadi februari, 2022.

View attachment 2121545
Hili nalo limeishia wapi
 
Back
Top Bottom