Waziri wangu umeongelea kitu muhimu mno,human trafficking ni issue nyeti sana na imeathiri familia nyingi sana nchini mwetu na jirani zetu,ila usiifanye kimehemko na kisiasa,haihitaji mabavu bali inahitaji busara na ujuzi wa crime investigations jaribu kufanya yafuatayo please;tembelea nchi jirani ili uweze kubadilishana nao mawazo na kuunda mkakati wa kukabiliana na tatizo hili;badilisha kabisa utendaji wa jeshi letu la polisi,unda special units within our police na mojawapo kikosi cha kukabiliana na human trafficking ambao watapeleleza kitechnolojia jinsi mitandao hii inavyo operate na hii itasaidia kujua kingpins wao,mbinu wanazozitumia,connections zao,rest houses zao,border posts wanazozitumia etc etc,ukurupukaji wako hauna tiba yeyote katika to remedy this situations.