Lugha za watu ...... Bwana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lugha za watu ...... Bwana!

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by WILSON MWIJAGE, Feb 9, 2012.

 1. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ngugu,

  Nikawa nchini Uganda kuhudhuria mafunzo ya muda mfupi (short course) Kuhusiana na Community Care in HIV/AIDS. Asubuhi moja nikagundua sijachana nywele kwa sababu sina kichano (comb), ngoma haikuwa nimuombe nani bali niombeje maana sikujua kamwe kinaitwaje kwa kingereza.

  Nikawa kwenye sherehe ya ukaribisho (reception party) nchini Zimbabwe, wahudumu walitanguliza juisi kwenye glasi kubwaaa na kila mmoja alipewa mrija wa kunywea hiyo juisi ispokuwa mimi - nadhani alisahau. Suala likaja niombeje sijui mrija wakati siujui kwa kingereza? Nilinyanyuka na kwenda kaunta nikaomba kwa kuonyesha kidole boksi la mirija.


  Hizo ndizo lugha za wenzetu
   
 2. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,362
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  comb - comber
   
 3. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Nashukru sana japo nilijua hivyo mara tu niliporudi Dar
   
 4. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  We have seen this thread before!
  Copy & paste?
   
 5. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Uliiona wapi? Mhhm! The thread was posted on Febr.09, 2012 na mimi.... Today nimemjibu aikaruwa1983. "By the way Copy and paste for what ndugu"
   
Loading...