Lugha za serikali yetu sikivu

Maega

Senior Member
Joined
Jul 10, 2010
Posts
156
Reaction score
31
....'mchakato unaendelea'' ,''tuko mbioni '', ''tunajipanga kulifanyia kazi'', ''mawazo tumeyapokea ,''serikali yenu ni sikivu'', ''hili tumelichukua'', Tumejipanga kikamilifu, Hilo tatizo litakua historia,Tuwe wavumilivu kwa mda huu mfupi,
Tume imeundwa kuchunguza tatizo,..... tunafanya upembuzi yakinifu,tuna mkakati kabambe,tuvute subira.............

Ongezea list
 
hayo maneno sikuhizi yanazidisha tu hasira maana imekuwa ni dalili ya kutokuwajibika...........
 
Suala hili liko Mahakamani, na ndugu zetu hawa wametulalamikia kuwa tunaingilia Uhuru wao!!!!Pinda
 
Suala hili liko mahakamani halitakiwi kuongelewa !
 

limeongezeka jingine mkuu WATANZANIA TUIAMINI SERIKALI YETU INAMALENGO MAZURI SANA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…