Nashangaa!! napoambiwa lugha yetu ni kiswahili wakati huo;
Kwenye maombi ya kazi karibu yote nchi nzima wanatoa kwa kingereza,taarifa au tangazo flani labda unakuta mabadiliko ktk sector kingeleza,saaa nn maana ya kuwa na kiswahili sasa?heri tu tubaki na kingereza ili watu wajuwe na dunia ijuwe kwann tusitumie lugha yetu ya kiswahili ili tujivunie bwana,et tunakuza kiswahili kwa hari hii mhuuu!!!!