Lugha yetu hapa nuymbani Tanzania ni ipi hasa?

kuuuu

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
590
504
Nashangaa!! napoambiwa lugha yetu ni kiswahili wakati huo;
Kwenye maombi ya kazi karibu yote nchi nzima wanatoa kwa kingereza,taarifa au tangazo flani labda unakuta mabadiliko ktk sector kingeleza,saaa nn maana ya kuwa na kiswahili sasa?heri tu tubaki na kingereza ili watu wajuwe na dunia ijuwe kwann tusitumie lugha yetu ya kiswahili ili tujivunie bwana,et tunakuza kiswahili kwa hari hii mhuuu!!!!
 
You have got a point.
 
Na sasa vyombo vya habari na mara nyingine watumishi wa serikali wamehalalisha maneno ya kizungu na kuharamisha maneno ya kiswahili kama ifuatavyo:
1.foleni badala ya msululu
2.Nikiripoti kutoka Msomaaaa.........badala ya Nikitaarifu kutoka Msoma Mkoani Maraaaaa......
3.Tunajiunga na Studio zetu..............badala ya tunajiunga na chumba cha habari..................
4.....n.k

Achana na wanahabari. Ukienda ofisi za umma nje tu utakuta maegesho ya magari wameandika vibao kila mkubwa na egesho lake kwa Kiingereza. Huko ndani sijui lakini Nape aangaze hili la matumizi ya Kiswahili katika ofisi za umma. Naunga mkono mtoa mada.
 
Flani
Kingeleza, kingereza
Hari

Halafu bado unataka utumie Kiswahili kwa kujinasibu kuwa unakiweza.
 
Mkuu umeongea kitu cha muhimu sana , Ingawa tupo nyuma katika masuala ya kiteknolojia ila ilitupasa tuwaige wenzetu wa Uchina wao hawatumii sana hii lugha ya kiingereza.Inatumika pale kwenye ulazima tu na tena ulazima huo wanapokuwepo wageni kutoka nchi toafauti na yao.Sisi tunahamasisha kuiendeleza lugha yetu lakini kila sehemu ukienda kwenye mambo ya matangazo utanikuta ni lugha ya nje tu.
 
Nashangaa!! napoambiwa lugha yetu ni kiswahili wakati huo;
Kwenye maombi ya kazi karibu yote nchi nzima wanatoa kwa kingereza,taarifa au tangazo flani labda unakuta mabadiliko ktk sector kingeleza,saaa nn maana ya kuwa na kiswahili sasa?heri tu tubaki na kingereza ili watu wajuwe na dunia ijuwe kwann tusitumie lugha yetu ya kiswahili ili tujivunie bwana,et tunakuza kiswahili kwa hari hii mhuuu!!!!
Kiswahili ni lugha ya Taifa, Kiingereza (hasa) na/au Kiswahili( kwa nadra)ni lugha ya kiofisi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom