Lugha ya Kiingereza kwa shule za msingi

JaffarMohammed

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
762
283
Habari wana Jf Wenzangu.
Hivi mnaonaje serekali yetu ikitumia Lugha ya kiingereza kufundishia masomo yote kwenye shule za msingi za serekali? Nadhani itasaidia sana wanafunzi wetu kuelewa lugha hii..wenzetu wakenya hata wakiishia primary school waakua wajua kuongea na kuandika kiingereza vizuri kabisa. Yaani ukimeleta hapa kwetu anakupiga bao. Lakini sisi ukiishia la saba unakua bado ZERO!
PIA mara nyingi mwanafunzi aliesoma masoma kwa kiswahili anapata shida sana kuelewa masomo ya secondary maana ghafla tu kila kitu kinabadilika na kua kiingereza . Hii inasababisha mtu kukariri na si kuelewa. Na ndio maana utamkuta matanzania ana degree lakini kiingereza sahihi hakijui.

Hayo ni mawazo yangu. Kama kuna mwenye wazo zuri zaidi naomba achangie.
Asanteni.
 
Back
Top Bottom