Lugha ya Kichina UDSM

Nathd

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
290
210
Habari wana Jf. Anaeelewa utaratibu wa pale UDSM kuhusu kujifunza lugha ya Kichina chini ya taasisi ya confucius anifahamishe, na hizo scholarship zao zinapatikana kwa vigezo vipi? Na ni za aina gani?
 
sio,scholarship mkuu ni unajiunga na kutuma maombi,pamoja na kulipia ada yake ili usajiriwe na uendlee kusoma ambapo gharama zake ni tofaut kw makund tofaut wanaoamua kusom hyo course kwa muda maalumu.mfano ukiwa ni mwanafunz w udsm utalipa kias kidog pia ukiwa mfanyakaz wa hapo utalipa kidogo,na ukiwa from other insts.utalipa kias chake
 
Back
Top Bottom