ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Jul 23, 2013 Thread starter #21 ameshaupata huo best kwani yuko hapa anaona kiaina Mamndenyi said: ladyfurahia ndo maana ya vijimisemo mpe Lady doctor huu hapa Ukimjua adui yako unamshinda kirahisi..... Click to expand...
ameshaupata huo best kwani yuko hapa anaona kiaina Mamndenyi said: ladyfurahia ndo maana ya vijimisemo mpe Lady doctor huu hapa Ukimjua adui yako unamshinda kirahisi..... Click to expand...
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Jul 23, 2013 #22 Japo chungu we meza tu...... Mamndenyi said: Kongosho Kobe hufika aendako hata akienda taratibu...... Click to expand...
Japo chungu we meza tu...... Mamndenyi said: Kongosho Kobe hufika aendako hata akienda taratibu...... Click to expand...
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Jul 23, 2013 Thread starter #23 ila wewe mwenzangu una misemo jamani unaitoa wapii hii yote umenivutia sana uko brighty Mamndenyi said: Kongosho Kobe hufika aendako hata akienda taratibu...... Click to expand...
ila wewe mwenzangu una misemo jamani unaitoa wapii hii yote umenivutia sana uko brighty Mamndenyi said: Kongosho Kobe hufika aendako hata akienda taratibu...... Click to expand...
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,719 Jul 23, 2013 #24 Kongosho .....Mbwa mzee hafundishwi sheria mpya..... Kongosho said: Japo chungu we meza tu...... Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kongosho .....Mbwa mzee hafundishwi sheria mpya..... Kongosho said: Japo chungu we meza tu...... Click to expand...
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,719 Jul 23, 2013 #25 ladyfurahia.......... Ukimuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa...... ladyfurahia said: ila wewe mwenzangu una misemo jamani unaitoa wapii hii yote umenivutia sana uko brighty Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
ladyfurahia.......... Ukimuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa...... ladyfurahia said: ila wewe mwenzangu una misemo jamani unaitoa wapii hii yote umenivutia sana uko brighty Click to expand...
monaco JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 2,184 Reaction score 1,780 Jul 23, 2013 #26 ladyfurahia said: Yani hapa umenena mwana kile kimtokacho mtu ndicho kilivyo kwa uhalisia wa nje Click to expand... Ahsante Lady....
ladyfurahia said: Yani hapa umenena mwana kile kimtokacho mtu ndicho kilivyo kwa uhalisia wa nje Click to expand... Ahsante Lady....
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,841 Reaction score 37,578 Jul 23, 2013 #27 Mamndenyi said: na wawe waswahili kweli kweli siyo akina Madame B wanajiita watu wa ta wakati hata kiswahili hakipandi. Click to expand... Haa!!! Ulidhani utauanika,.....mbona umeutwanga mbichi Mamndenyi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mamndenyi said: na wawe waswahili kweli kweli siyo akina Madame B wanajiita watu wa ta wakati hata kiswahili hakipandi. Click to expand... Haa!!! Ulidhani utauanika,.....mbona umeutwanga mbichi Mamndenyi?
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,806 Jul 23, 2013 #28 Ndivyo lugha zinavyokuwa. Bila kuwa na ubunifu wa vijineno vipya lugha inabaki kuwa changa. Na vijineno vyenye mantiki hubaki na vile visivyokubalika huyeyuka.
Ndivyo lugha zinavyokuwa. Bila kuwa na ubunifu wa vijineno vipya lugha inabaki kuwa changa. Na vijineno vyenye mantiki hubaki na vile visivyokubalika huyeyuka.
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Jul 25, 2013 Thread starter #29 jamani maneno haya mhm!