PreGE2025 Ludovick Utouh: Huwezi kushiriki katika Uchaguzi kama huna kadi, nenda kajiandikishe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya WAJIBU, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Ludovick Utouh amezungumzia umuhimu wa Wananchi kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura:

1742567615111.png

Kujiandikisha ni zoezi la Kikatiba, ni Haki yako wewe Mwananchi kuchagua Viongozi unaowataka, itapendeza kila Mtanzania mwenye vigezo kushiriki, huwezi kushiriki katika Uchaguzi kama huna kadi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wenye kadi tukahakiki taarifa zetu, Vijana pia washiriki ili wapate haki ya kuchagua viongozi wa nchi yetu nzuri ya Tanzania, itambulike watakaochaguliwa watahudumia Watu wote bila kujali ulipiga au hukupiga kura, hivyo wewe una nafasi ya kushiriki kufanya maamuzi.
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya WAJIBU, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Ludovick Utouh amezungumzia umuhimu wa Wananchi kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura:

Kujiandikisha ni zoezi la Kikatiba, ni Haki yako wewe Mwananchi kuchagua Viongozi unaowataka, itapendeza kila Mtanzania mwenye vigezo kushiriki, huwezi kushiriki katika Uchaguzi kama huna kadi.

Wenye kadi tukahakiki taarifa zetu, Vijana pia washiriki ili wapate haki ya kuchagua viongozi wa nchi yetu nzuri ya Tanzania, itambulike watakaochaguliwa watahudumia Watu wote bila kujali ulipiga au hukupiga kura, hivyo wewe una nafasi ya kushiriki kufanya maamuzi.
Ccm kuendelea kubaki madarakani haitegemei kupigiwa kura na mtu yoyote yule hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom