Lucy Mayenga; DC wa Uyui Tabora

Hii habari imekaa kipashukuna sana.....ni kama zile story za kinamama wa mtaani wakutanapo bombani...au kwenye vibaraaz vyao vya kimbea......sidhani kama ni mwanaume amepost uzi huu....
 
nimesikia magufuli anafumua wote, hadi wakuu wa mikoa anafanya ufumuaji anaweka wapya muda si mrefu. wengi walioteuliwa kwasababu wana makalio makubwa, au sura nzuri watarudi kula vumbi mtaani muda si mrefu.
 
Umeamua kutuletea CV yake... aliyoitumia mkwere kumteua
 
Last edited:
Umeamua kutuletea CV yake aliyoitumia mkwere kumteua

Huyu enzi ya mkweree amefaidi sana miaka yote kumi ;kwani licha ya kuwa DC pia alikuwa mbunge!!! Sidhani kama Magufuli ataendeleza huu ujinga. Kuteua mashori ili viwe vilago vyake akienda kufanya ziara mikoani, matunda yake ndio hayo yametuingizia hasara ya kuongeza deni la TAIFA kwa kwenda huko nje kutibiwa tezi dume!!
 

kwimkwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…