Lucifer Beer

Lucifer Beer

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,271
Reaction score
29,934
c8bac91a844a77e35ada80579e00dac5.jpg
 
Nadhani hii inakuunganisha moja kwa moja na Lusifer popote alipo.
 
Kibiashara zaidi itakuja na ya mlengwa wa pili sijui itaitwaje maana majina kedekede..!
 
Naona wameona majina ya watakatifu kama St. Anna hayalipi sasa wamekuja na mhusika mwenyewe.
 
mshana jr inakuweje hapo?

Halafu mleta mada, hiyo picha hapo nimeitizama kwa jicho la kike (kuona zaidi ya kilichomaanishwa)....

Huo mkono ni wa kike au wa kiume? Maana kwa chini naona kobazi zile za kuvaa ndani na aidha sketi au taulo jekundu, kama sio basi mhusika kavaa pensi nyanya msulupweto .....

Kasinde,
Mkono wa kike huo wala hakuna ubishi
 
Kuna watu wanaabudu shetani bila kificho !
 
mshana jr inakuweje hapo?

Halafu mleta mada, hiyo picha hapo nimeitizama kwa jicho la kike (kuona zaidi ya kilichomaanishwa)....

Huo mkono ni wa kike au wa kiume? Maana kwa chini naona kobazi zile za kuvaa ndani na aidha sketi au taulo jekundu, kama sio basi mhusika kavaa pensi nyanya msulupweto .....
Duuuuh kwa utafoti tu, sikuwezi..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom