donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
yes mkuu!Mimi iko penda hiyo.
mambo zaki cowboy mkuu!aisee....
thank u master Mr Rockynice one mr donlucchese
Mkuu donlucchese hapa Bongo hiyo mikwaju inapatikana wapi? Mimi ni mgonjwa wa mikwaju ya ngozi halisia.yes mkuu!
mkuu usikwame ntakurushia coordinates hivi punde!Mkuu donlucchese hapa Bongo hiyo mikwaju inapatikana wapi? Mimi ni mgonjwa wa mikwaju ya ngozi halisia.
Mkuu donlucchese na mimi nahitaji sana ngozi pure aise sio magumashi na kama wana vitu kama bags za pure leather aise nirushie mkuuumkuu usikwame ntakurushia coordinates hivi punde!
Ndio maana tunapatana sana, we share a good number of interests.Mkuu donlucchese na mimi nahitaji sana ngozi pure aise sio magumashi na kama wana vitu kama bags za pure leather aise nirushie mkuuu
usijali mkuu, kuna jamaa hua zangu hua wana import pure leather stuffs najaribu kuestablish contact hapa kama still they got the goodsMkuu donlucchese na mimi nahitaji sana ngozi pure aise sio magumashi na kama wana vitu kama bags za pure leather aise nirushie mkuuu
kweli mkuu we share alot of interests!Ndio maana tunapatana sana, we share a good number of interests.
njoo uchukue mdada!naomba pair moja?
poa poa....mambo zaki cowboy mkuu!
pamoja masta wangu!poa poa....
usijali mkuu, kuna jamaa hua zangu hua wana import pure leather stuffs najaribu kuestablish contact hapa kama still they got the goods
Mkuu na mimi pia niunganishe maana napenda haya makitu.Hii moja nilipata kimagumashi.