Lowassa will win a landslide

Status
Not open for further replies.
watu wanahasira mno..kweli watu wamebadilika kwa ripoti nliyopata hakuna mtu anaenda kumpigia kura magufuli wala ccm. sioni ccm itashinda vipi. vijana kachicheni haya majizi ccm na matoto yao

Aliyekupa ripoti atakua ameshtua kiroba kidogo.
 
Nipo nakunywa juisi ya pilipili hapa najiandaa kwenda kulipa ada ya wadogo zangu
 
Wewe inawezekana hata shahada hauna kwa sisi tulio kwenye foreni ya kupiga kura hali halisi ndio hiyo kila mtu ni Lowassa.
 
I prove you wrong. Landslide win ni nafsi yako cyo yangu mbona namchinja tu
 
Woyoooo naenda kuchinjaaaa kuanzia ng'ombe ,mbuzi na kuku ,
 
Lowassa Anaenda Kushinda Asbh tu.. Hapa Kituoni Nilipo Nimefika Saa Moja Nikawa mtu kama wa mia Mbili.. Vijana Noma wana Hasira Sana

Mkoa gani huo mji gani maana nchi hii ni kubwa mno na ukiona sehemu moja usidhani umeona koooote
 
Kwa uku nilipo mim , vijana wamejaa vituon hii inaanisha there is big expectation on lowasa majority
 

Akipata over 30% njo nikupe tigo!!!!
 
Lowassa atashinda uchaguzi huu bila shids,kwa yanayoendelea kwenye foleni huko hautaji miwani kulijua hili
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…