Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
Lowassa Anaenda Kushinda Asbh tu.. Hapa Kituoni Nilipo Nimefika Saa Moja Nikawa mtu kama wa mia Mbili.. Vijana Noma wana Hasira Sana
Unalazimisha ushindi angalia msije kupata ugonjwa wa moyo matokeo yakitangazwa.Well said..ushindi lazima
Lowassa, supported by milions of youths is going to win this election by a huge margin, I predict 70+ percent.
The turnout is massive and 80% on queues are young boys and girls of the youth group.
Now I understand why there's panic on Ccm camp.
Let's do what Lowassa told us: 'cast as many votes as you can that even if they rig, they will reach a point where they will be exhausted'
The message from the youths is clear: changes.
Lowassa is our next president of The United Republic.
Unalazimisha ushindi angalia msije kupata ugonjwa wa moyo matokeo yakitangazwa.
Leo bodaboda hakuna vituoni blaza.Ukapimwe akili..hata leo unapiga propaganda?subiri matokeo yatoke kijana..kuna watu humu hamjui maana ya uchaguzi wa viongozi kupigiwa kura na wananchi..mtakufa kwa pressure...kama ni mpira,sasa hv ndo dakika ya pili tu ya mchezo,subiria dk 88 ziishe..then urudi hapa uone tathmin zako hizo zitakavyokuwa..ooh Lowasa Rais,Lowasa Mafuriko,Lowasa Mabadiliko,Lowasa anakubalika na vijana wengi,Lowasa nyenyenyeeee...leo ndo majibu na ukweli wa hayo utayapata...mamaeeeeeeee