Lowassa: Wasomi wasaidie jamii kutatua migogoro ya ardhi

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,060
Reaction score
460
Wadau nawasalimu.

Leo nilikuwa katika kuongozana na mheshimiwa sana Mzee wetu Lowassa jimboni kwake monduli ambapo lengo LA ziara hiyo ni kufanya tathimini ya maendeleo jimboni kwake kwa kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu mwakani ambapo mojawapo ya wadau tuliokutana nao ni MALAIGWANANI wa jamii ya kimasai.

Katika mkutano huo mzee wetu lowasa ameitaka jamii ya wasomi waliopo kuisadia jamii zao kutatua changamoto za migogoro ya ardhi nchini ikizingatiwa kwamba kadri siku zinavyokimbia ndivyo migogoro imezidi kuongezeka na serikali kupitia Wizara ya ardhi hajaweza kutatua migogoro hiyo mpaka sasa.

Pamoja na hayo malaigwanani wamempongeza lowasa kwa juhudi zake za kuisaidia jamii kuondokana na umaskini na amekuwa kiongozi Wa kuigwa na jamii ya sasa.

My take: Lowassa kwa sasa watanzania wanamhitaji Sana mwakani kuwa rais wao kwani wamekuwa na imani naye ya kuwavusha kutoka katika Lindi la umaskini.Lowassa ni kiongozi Wa mipango na mikakati madhubuti, mwenye weledi Wa kutosha, mchapa kazi, mpenda maendeleo na mwenye maono Ya mbele.

Nawatakia watanzania safari njema ya matumaini na mzee wetu Lowassa, Leo na kesho tutakuwa naye.

Nawasilisha.
 
Huyu bwana ni mtu makini ambae kwa mimi mpaka sasa sijaona sehemu ambayo akiamua kulisimamia jambo lishawahi kutofanikwa
Mungu ni mwema tunazidi kumwombea ndugu huyu aongoze nchi hii hata kwa kipindi cha miaka mitano tu. nadhani hao watakakuja nyuma yake wapate cha kujifunza juu ya umakini wa mtu huyu.
 
Tunahitaji analysis, lowasa japo alikuwa waziri mkuu na ameenda nchi zilizoendela,si mfano wa wafugaji wazuri,mifugo yake inazurura kama chokoraa,hata nyasi za kisasa hapandi na hapeleki utaalam huo,anachofanya ni kutetea watu wanaochunga mifugo yake pale wanapovamia mashamba ya wakulima na kulisha mazao,NANI ALISHAJIULIZA HII JEURI YA WAFUGAJI KWA NINI IANZE SASA?na kwa NINI HAWAOGOPI SERIKALI? Mkuu wa mkoa wa morogoro kaongea sana, na hawa wafugaji wenye ng'ombe zaidi ya elfu tano(thamani zaidi ya bilioni) waende kulisha kwenye shamba la mkulima la heka kumi na thamani ya mazao haifiki milioni kumi, NA HAO WAFUGAJI WASHINDWE KUUZA MIFUGO 500 wakanunue ardhi kama mkulima alivyonunua?
 
Huyu bwana ni mtu makini
ambae kwa mimi mpaka sasa sijaona sehemu ambayo akiamua kulisimamia
jambo lishawahi kutofanikwa
Mungu ni mwema tunazidi kumwombea ndugu huyu aongoze nchi hii hata kwa
kipindi cha miaka mitano tu. nadhani hao watakakuja nyuma yake wapate
cha kujifunza juu ya umakini wa mtu huyu.

Wewe ndio umechelewa kumfaham huyu Mzee,HATA RICHMOND ALISIMAMIA HADI KUJIUZULU KWAKE.....
 
nchi hii ina mataahira mengi sana. sijapata ona popote duniani wananchi wakililia kuongozwa na mwizi. hivi ni kweli kabisa nchi hii yenye watu mil 45 hatuoni mtu muadilifu wakuliongoza taifa hili mpaka tuangukie kwa mwizi? hebu tumieni vipaji vyenu alivyowajaalia mwenyezi mungu. da!

Huyu bwana ni mtu makini ambae kwa mimi mpaka sasa sijaona sehemu ambayo akiamua kulisimamia jambo lishawahi kutofanikwa
Mungu ni mwema tunazidi kumwombea ndugu huyu aongoze nchi hii hata kwa kipindi cha miaka mitano tu. nadhani hao watakakuja nyuma yake wapate cha kujifunza juu ya umakini wa mtu huyu.

wadau nawasalimu.

Leo nilikuwa katika kuongozana na mheshimiwa sana Mzee wetu Lowassa jimboni kwake monduli ambapo lengo LA ziara hiyo ni kufanya tathimini ya maendeleo jimboni kwake kwa kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu mwakani ambapo mojawapo ya wadau tuliokutana nao ni MALAIGWANANI wa jamii ya kimasai.

katika mkutano huo mzee wetu lowasa ameitaka jamii ya wasomi waliopo kuisadia jamii zao kutatua changamoto za migogoro ya ardhi nchini ikizingatiwa kwamba kadri siku zinavyokimbia ndivyo migogoro imezidi kuongezeka na serikali kupitia Wizara ya ardhi hajaweza kutatua migogoro hiyo mpaka sasa.

pamoja na hayo malaigwanani wamempongeza lowasa kwa juhudi zake za kuisaidia jamii kuondokana na umaskini na amekuwa kiongozi Wa kuigwa na jamii ya sasa.

my take: lowasa kwa sasa watanzania wanamhitaji Sana mwakani kuwa rais wao kwani wamekuwa na imani naye ya kuwavusha kutoka katika Lindi la umaskini.lowasa ni kiongozi Wa mipango na mikakati madhubuti, mwenye weledi Wa kutosha, mchapa kazi, mpenda maendeleo na mwenye maono Ya mbele.

nawatakia watanzania safari njema ya matumaini na mzee wetu Lowassa, Leo na kesho tutakuwa naye.

nawasilisha.
 
well said mkuu, n suala la wakati tuu
 
Watanzania tumeshakubaliana kuwa Rais ajaye ni Edward Ngoyai Lowassa.
 
nchi hii ina mataahira mengi sana. sijapata ona popote duniani wananchi wakililia kuongozwa na mwizi. hivi ni kweli kabisa nchi hii yenye watu mil 45 hatuoni mtu muadilifu wakuliongoza taifa hili mpaka tuangukie kwa mwizi? hebu tumieni vipaji vyenu alivyowajaalia mwenyezi mungu. da!

Sasa wewe mshabiki wa membe si ndio kichaa?si bora taahira siku hizi ana jina la mtindio wa ubongo na ana shule maalum, huyo ambae akiona jk kabadilisha miwani naye kabadili,anajikrimu afanane na jk,anabadilisha sauti ili iwe kama ya jk, ANATUMIA VIKAO VYA UKOO KUINGIA IKULU NA SI VIKAO VYA CHAMA
 
tumia akili mkuu. nani kakuambia kuwa namsapoti Membe? nilichosema ni kuwa tuchague viongozi waadilifu. naamini kabisa huyo lowassa angekua kwenye nchi za wenzetu kama ulaya na marekani sasa hivi angekuwa inmate siku nyingi sana.
hebu tutumie akili tupate viongozi watakaotutoa hapa tulipo kutupeleka mbali zaidi.

Sasa wewe mshabiki wa membe si ndio kichaa?si bora taahira siku hizi ana jina la mtindio wa ubongo na ana shule maalum, huyo ambae akiona jk kabadilisha miwani naye kabadili,anajikrimu afanane na jk,anabadilisha sauti ili iwe kama ya jk, ANATUMIA VIKAO VYA UKOO KUINGIA IKULU NA SI VIKAO VYA CHAMA
 
Tunahitaji analysis, lowasa japo alikuwa waziri mkuu na ameenda nchi zilizoendela,si mfano wa wafugaji wazuri,mifugo yake inazurura kama chokoraa,hata nyasi za kisasa hapandi na hapeleki utaalam huo,anachofanya ni kutetea watu wanaochunga mifugo yake pale wanapovamia mashamba ya wakulima na kulisha mazao,NANI ALISHAJIULIZA HII JEURI YA WAFUGAJI KWA NINI IANZE SASA?na kwa NINI HAWAOGOPI SERIKALI? Mkuu wa mkoa wa morogoro kaongea sana, na hawa wafugaji wenye ng'ombe zaidi ya elfu tano(thamani zaidi ya bilioni) waende kulisha kwenye shamba la mkulima la heka kumi na thamani ya mazao haifiki milioni kumi, NA HAO WAFUGAJI WASHINDWE KUUZA MIFUGO 500 wakanunue ardhi kama mkulima alivyonunua?

Hoja hapa ni Lowassa na maendeleo siyo mifugo kurandaranda. Jambo ambalo ni dhahiri hapa ni kwamba wewe unayo chuki binafsi na wafugaji wa Morogoro. Mfugaji yupi karne ya leo utamkuta na ngombe 5000. Wewe unazungumza usicho kijua jaribu kutafuta wataalam wakushauri.
 
nchi hii ina mataahira mengi sana. sijapata ona popote duniani wananchi wakililia kuongozwa na mwizi. hivi ni kweli kabisa nchi hii yenye watu mil 45 hatuoni mtu muadilifu wakuliongoza taifa hili mpaka tuangukie kwa mwizi? hebu tumieni vipaji vyenu alivyowajaalia mwenyezi mungu. da!

Hapo tu mzee yupo jimboni kwake lakini anawatoa kamasi. Siku akiamua kuchukuwa form itakuaje?
 
Hoja hapa ni Lowassa na maendeleo siyo mifugo kurandaranda. Jambo ambalo ni dhahiri hapa ni kwamba wewe unayo chuki binafsi na wafugaji wa Morogoro. Mfugaji yupi karne ya leo utamkuta na ngombe 5000. Wewe unazungumza usicho kijua jaribu kutafuta wataalam wakushauri.

Kwa hiyo ufugaji uendelee kuwa hivyo hovyo? Na low as a anajinasibu na ufugaji wa kizururaji
 
Sasa wewe mshabiki wa membe si ndio kichaa?si bora taahira siku hizi ana jina la mtindio wa ubongo na ana shule maalum, huyo ambae akiona jk kabadilisha miwani naye kabadili,anajikrimu afanane na jk,anabadilisha sauti ili iwe kama ya jk, ANATUMIA VIKAO VYA UKOO KUINGIA IKULU NA SI VIKAO VYA CHAMA

Abunuas ni abunuasi kweli. Na mwaka huu mpaka uishe utakua abunuasi kweli. Naomba ujiposition vizuri kwenye solar sytem ili uweza kupokea mwanga wa jua vizuri.

Hata jamii.................mmewaita wezi. Hawa ni wachapa kazi sana, ndiyo maana kila kona ya nchi hii wamesoma na wanazo biashara kubwa kubwa na za maana.

Tusibweteke na kuanza kupiga kelele hovyo, bali tufanye kazi kwa bidii.
 
tumia akili mkuu. nani kakuambia kuwa namsapoti Membe? nilichosema ni kuwa tuchague viongozi waadilifu. naamini kabisa huyo lowassa angekua kwenye nchi za wenzetu kama ulaya na marekani sasa hivi angekuwa inmate siku nyingi sana.
hebu tutumie akili tupate viongozi watakaotutoa hapa tulipo kutupeleka mbali zaidi.

Kwenda jela sio kama wewe unavyoenda gesti kwa SIKU Mara kumi kufanya uzinzi
 
Kwa hiyo ufugaji uendelee kuwa hivyo hovyo? Na low as a anajinasibu na ufugaji wa kizururaji

Naomba nikujuze tu kwamba watu wengi wanapenda nyama sana lakini wanachukia mifugo. Wanyama hawataacha kuzurura hadi pale mipango endelevu kwenye sekta ya mifugo itakopoasisiwa.

Napenda ujue pia kwamba malisho katika nchi haijawahikua tatizo, tatizo ni utaratibu mbovu. Tukiwa na mpango mzuri na wa muda mrefu kwenye sekta ya mifugo tunaweza tukafika mbali sana kama taifa. Kwa mfano miundombinu ya ufugaji ikiboreshwa kwenye mikoa miwili tu Tanga na Pwani huwezi kuamini kwamba tunaweza tukazalisha tani nyingi za nyama iliyobora zaidi.

Lakini kwa sababu hatujui nini kifanyike basi tunabaki kupiga kelele humu jf.
 
Kwenda jela sio kama wewe unavyoenda gesti kwa SIKU Mara kumi kufanya uzinzi

Kama unayo evidence kwamba ni mwizi why don't you take him to a court of law to prove what you are telling us about him is true.
 
Mi nikajua utelezea umuhimu wa wasomi kuwa viongozi japo huko bungeni ili wakajadiliane juu ya sera za hiyo ardhi!!!!!

Yaani huku mnaambiwa mbunge ajue kusoma na kuandika halafu nje mnaambiwa umuhimu wa wasomi na mnakenua tu!!!

Nchi hii rahisi sana kuwa kiongozi
 
Si ndo huyu alitaka kutuletea mvua ya acid kutoka Thailand...na ndo huyu aliyewaruhusu wamasai wakachunge Morogoro au???:what:
 
Back
Top Bottom