Kaka kweli raha au basi tu unajikaza
Binafsi naona ugumu na sina amani na yaliyotokea Jana
Tuwe wakweli ili tuone ni jinsi gani tuboreshe hotuba zetu
Mambo ya mahaba au mapenzi sio issues kwa watanzania
Watuambie kupitia migodi watz tutanufaikaje, kupitia bahari na maziwa tutanufaikaje, kupitia gesi nk..