Nimeangalia kwa makini sana gazeti la Mwanahalisi kwa zaidi ya miaka mitatu mfululizo bila kukosa na leo nasema kwamba Mwanahalisi ni gazeti maalumu lililoundwa kwa ajili ya kumshughulikia Edward Lowasa na Rostam Aziz.Siku ambayo hawa watu wawili hawatakuwepo basi na gazeti letu kipenzi litakuwa limekufa pia.Leo niko tayari kupinga na mtu yeyote kuwa "KAMA MWANAHALISI LIKIKAA MWEZI MMOJA TU HALIJAANDIKA HABARI YA LOWASA BASI NITATOA KWA NILIOPINGA NAE SHILINGI MILIONI MOJA" japo ni hela nyingi kwangu ila nina uhakika haziwezi kunitoka kw kuwa Mwanahalisi wanamuota mchana na usiku Edward Lowasa……….Kwa kweli Lowasa ni mvumilivu sana ningekuwa mie ningekuwa nimeshafungwa jela kwa kumshughulikia mtu mbaya kabisa ,siwezi kuchezewa namna hii.:angry:
Nimeangalia kwa makini sana gazeti la Mwanahalisi kwa zaidi ya miaka mitatu mfululizo bila kukosa na leo nasema kwamba Mwanahalisi ni gazeti maalumu lililoundwa kwa ajili ya kumshughulikia Edward Lowasa na Rostam Aziz.Siku ambayo hawa watu wawili hawatakuwepo basi na gazeti letu kipenzi litakuwa limekufa pia.Leo niko tayari kupinga na mtu yeyote kuwa KAMA MWANAHALISI LIKIKAA MWEZI MMOJA TU HALIJAANDIKA HABARI YA LOWASA BASI NITATOA KWA NILIOPINGA NAE SHILINGI MILIONI MOJA japo ni hela nyingi kwangu ila nina uhakika haziwezi kunitoka kw kuwa Mwanahalisi wanamuota mchana na usiku Edward Lowasa .Kwa kweli Lowasa ni mvumilivu sana ningekuwa mie ningekuwa nimeshafungwa jela kwa kumshughulikia mtu mbaya kabisa ,siwezi kuchezewa namna hii.:angry:
mwana halisi ni kijigazeti ambacho lengo lake ni kuchafua wa2,yaani ni gazeti la udaku ambalo linatakiwa lijivue gamba.Tuna mambo mengi kwenye hii nchi ya lowasa na rostam tumeyachoka.sijui wa2 wanalipendea nini lile gazeti limejaa unafiki sana.
Watu tunapenda Mwanahilisi coz linatoa habari zenye lengo la kujulisha uovu wa viongozi wetu ili tupate nafasi ya kujua ubinadamu wao kwetu,pia taarifa nyingi zina sources za uhakika kwa kiasi kikubwa, therefore no udaku hapa.mwana halisi ni kijigazeti ambacho lengo lake ni kuchafua wa2,yaani ni gazeti la udaku ambalo linatakiwa lijivue gamba.Tuna mambo mengi kwenye hii nchi ya lowasa na rostam tumeyachoka.sijui wa2 wanalipendea nini lile gazeti limejaa unafiki sana.
ushauri wako ni mzuri zaidi hata ya umbo la ajuza kama ungeanzia radio uhuru na zile magazeti ingine!mwana halisi ni kijigazeti ambacho lengo lake ni kuchafua wa2,yaani ni gazeti la udaku ambalo linatakiwa lijivue gamba.Tuna mambo mengi kwenye hii nchi ya lowasa na rostam tumeyachoka.sijui wa2 wanalipendea nini lile gazeti limejaa unafiki sana.
Nimeangalia kwa makini sana gazeti la Mwanahalisi kwa zaidi ya miaka mitatu mfululizo bila kukosa na leo nasema kwamba Mwanahalisi ni gazeti maalumu lililoundwa kwa ajili ya kumshughulikia Edward Lowasa na Rostam Aziz.Siku ambayo hawa watu wawili hawatakuwepo basi na gazeti letu kipenzi litakuwa limekufa pia.Leo niko tayari kupinga na mtu yeyote kuwa KAMA MWANAHALISI LIKIKAA MWEZI MMOJA TU HALIJAANDIKA HABARI YA LOWASA BASI NITATOA KWA NILIOPINGA NAE SHILINGI MILIONI MOJA japo ni hela nyingi kwangu ila nina uhakika haziwezi kunitoka kw kuwa Mwanahalisi wanamuota mchana na usiku Edward Lowasa .Kwa kweli Lowasa ni mvumilivu sana ningekuwa mie ningekuwa nimeshafungwa jela kwa kumshughulikia mtu mbaya kabisa ,siwezi kuchezewa namna hii.:angry:
Tatizo sio mwanahalisi ila ni kansa inayoitafuna magamba, serikali na wewe mwenyewe ndio maana linakukera na unaliona la udaku, lakini kwa taarifa yako wao ni wambea kwa kutujuza mambo yanayoendelea kila uchao ya ufisadi na utawala mbovu (kansa) ambayo yanakusibu hata wewe, kwahali hiyo lazima uwaone wadakumwana halisi ni kijigazeti ambacho lengo lake ni kuchafua wa2,yaani ni gazeti la udaku ambalo linatakiwa lijivue gamba.Tuna mambo mengi kwenye hii nchi ya lowasa na rostam tumeyachoka.sijui wa2 wanalipendea nini lile gazeti limejaa unafiki sana.