Elections 2015 Lowassa: Viwanda bila elimu ni sawa na kazi bure

halaaaa

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
305
73
Mgombea Urais anayeungwa mkono na vyama vinne vinavyounda UKAWA amesema, kila Mtanzania anatakiwa aneemeke na rasilimali zake zilizomo nchini sio wageni.

Pia akaongeza akipata ridhaa kuwa Rais atahakikisha elimu inatawala kwa kila rika ili iwasaidie watu kujiajili kwani bila elimu huwezi leta viwanda, maana viwanda bila elimu haiwezekani.

Akaongeza ukileta viwanda Watanzania hawana elimu ya kutosha kwani itabidi kuajili watu toka nje na kuajili tena watanzania na kuwa madereva, akasema hiyo kitu hataki.

Elimu kwanza, watanzania wasome na wasimamie viwanda wao wenyewe na kuongeze pato la ndani la taifa.

Hiyo kauli iko sawa kweli?

1444499627073.jpg
 
Tatizo lake anashindwa kutambua kuwa ELIMU YA BURE VIDUDU HADI CHUO kuanzia januari kwa Tz bado hatujafika huko, linaweza likafanyika hilo kama watafosi ila 'wasomi' wataotoka hapo ni MAJANGA. Hivi jamaa anashirikisja timu yake kufikiri au anasema tu kufurahisha 'nyomi' zake?
 
Hawa wa sasa izi wa mmesa na mmem unawaonaje????
 
Tatizo lake anashindwa kutambua kuwa ELIMU YA BURE VIDUDU HADI CHUO kuanzia januari kwa Tz bado hatujafika huko, linaweza likafanyika hilo kama watafosi ila 'wasomi' wataotoka hapo ni MAJANGA. Hivi jamaa anashirikisja timu yake kufikiri au anasema tu kufurahisha 'nyomi' zake?

Tumefikia kuaminishwa hata yanayowezekana hayawezekani!elimu bure inawezekana.
 
Tuache ushabiki.leo hii vibarua kiba viwandani ni wazawa na waajiriwa wachache wanaolipwa kiduchu kwa kua elimu zao hazina vigezo.wageni wanachukua nafasi nyeti zote.kikubwa kinachoitajika ili watu wajitambue ni elimu.vingine vitajizaa kama matunda ya elimu bora.
 
Kwani uongo?bila elimu tutaishia kuwa wafagiaji na walinzi.Nani atakupa ubosi wakati kichwani hamnazo.Elimu,Elimu,Elimu.Huyo wa viwanda kama atatumia umeme wa power bank sawa!.
 
Lowasa ana vision, maamuzi, ufuatiliaji na ni mzuri kutoa maelekezo kuliko Magufuri, Magufuri si kiongozi bali ni mtendaji.

Suala la kutoa elimu bure kama anavyosema Lowasa linawezekana kabisa. Libya iliweza kutoa elimu, huduma za afya nzuri, huduma za bima na nyinginezo bure kwa miaka mingi kwa ajili ya mafuta tu waliyokuwa nayo. Kwanini Tanzania ishindwe wakati ina gesi, mafuta, dhahabu, almasi, Tanzanite na mbuga za wanyama?. Kinachokosekana katika Tanzania ni Uongozi bora pamoja na mfumo sahihi. Lowasa ni kiongozi bora wala si bora kiongozi, na Chadema wana mfumo mzuri si kama wa CCM. Lowasa ndani ya Chadema ataleta mabadiliko chanya kwa Tanzania na kwa faida ya Watanzania wote.

Lowasa ana qualities za uongozi. Watanzania tusifanye makosa 25th October 2015. Chagua Lowasa, chagua mabadiliko ya kuelekea kwenye maendeleo tuliyonyimwa na CCM kwa miaka 50 iliyopita.
 
So, the current plants/factories we do have now, how are we operating them? The dude is a fool and dumb.
 
Mgombea urais anayeungwa mkono na vyama vinne vinavyonda ukawa amesema, kila mtanzania anatakiwa aneemeke na rasilimali zake zilizomo nchini sio wageni.

Pia akaongeza akipata ridhaa kuwa rais atahakikisha elimu inatawala kwa kila rika ili iwasaidie watu kujiajili kwani bila elimu huwezi leta viwanda, maana viwanda bila elimu haiwezekani.

Akaongeza ukileta viwanda watanzania hawana elimu ya kutosha kwani itabidi kuajili watu toka nje na kuajili tena watanzania na kuwa madei waka hiyo kitu hataki.

Elimu kwanza, watanzania wasome na wasimamie viwanda wao wenyewe na kuongeze pato la ndani la taifa.

Hiyo kauli iko sawa kweli?

View attachment 297290
Kusema lazima tusome kwanza wakati wahitimu kibao ambao ni wasomi..mana yake wamekwisha soma wanatafuta kazi na eti tuanze kusoma kama vile hakukuwa na shule ndio tujenge viwanda naona ni "Mtindio" wa akili!!! Watanzania waliokwisasoma na wanaotafuta kazi/ au wajasiriamali tayari wapo wanachohitaji ni kuwezeshwa..Lowassa na sio kupelekwa tena shule! Lkini kiwanda kikijengwa waajiriwa watafunzwa namna ya kuendesha hivyo viwanda!!!
 
So, the current plants/factories we do have now, how are we operating them? The dude is a fool and dumb.

Amekujibu WAGENI KUTOKA NCHI ZA NJE,hata ukienda mahotelini huko Wakenya kibao wanapewa kazi kisa ,wanajua Kiingereza,japokuwa tunaamini Kujua kiingereza sio sababu ya kusema Umeelimika.,kama wewe hapa Mr Chin umeonyesha jinsi gani unahitaji kupata Elimu .kutokana na Swali lako..,soma uelewe ndio ujibu swali.
 
Mgombea urais anayeungwa mkono na vyama vinne vinavyonda ukawa amesema, kila mtanzania anatakiwa aneemeke na rasilimali zake zilizomo nchini sio wageni.

Pia akaongeza akipata ridhaa kuwa rais atahakikisha elimu inatawala kwa kila rika ili iwasaidie watu kujiajili kwani bila elimu huwezi leta viwanda, maana viwanda bila elimu haiwezekani.

Akaongeza ukileta viwanda watanzania hawana elimu ya kutosha kwani itabidi kuajili watu toka nje na kuajili tena watanzania na kuwa madei waka hiyo kitu hataki.

Elimu kwanza, watanzania wasome na wasimamie viwanda wao wenyewe na kuongeze pato la ndani la taifa.

Hiyo kauli iko sawa kweli?

View attachment 297290
Kauli hii iko sawa kabisa.Hata wewe kama ni mzazi unayejali watoto wako ni bora uwaridhishe elimu kuliko pesa. Elimu itawaweka huru na hata ukiwaachia mali elimu itawasaidia kuiendeleza. Mkakati mzuri sana !
 
Tumefikia kuaminishwa hata yanayowezekana hayawezekani!elimu bure inawezekana.

Sijasema HAIWEZEKANI, nimesema bado hatuko tayari kwa hilo na DEFINATELY kwa Januari ndo hatuko tayari kabisaaaaa. Inaweza fosiwa ila tutazalisha vilaza.
 
Kusema lazima tusome kwanza wakati wahitimu kibao ambao ni wasomi..mana yake wamekwisha soma wanatafuta kazi na eti tuanze kusoma kama vile hakukuwa na shule ndio tujenge viwanda naona ni "Mtindio" wa akili!!! Watanzania waliokwisasoma na wanaotafuta kazi/ au wajasiriamali tayari wapo wanachohitaji ni kuwezeshwa..Lowassa na sio kupelekwa tena shule! Lkini kiwanda kikijengwa waajiriwa watafunzwa namna ya kuendesha hivyo viwanda!!!
Umesema cha maana sana. Wasomi wapo kibao na vyuo vinawatapika kila mwaka, wapo mitaani hawana kazi. Ndo hao wa kwenda kuanza huko viwandani.
 
So, the current plants/factories we do have now, how are we operating them? The dude is a fool and dumb.
I think you are calling others names that you don't even qualify to be! How can you say emphasizing on education is foolishness? Do you know why the developed nations keep on developing while we poor nations are stagnant and even moving backward? The answer is education. An industry that was built in 1990, even if is working today, still cannot not compete with new industries built in 2015 or in recent years. Technology is advancing very fast and this creates a high demand for elite people. So, Tanzania needs educated people if we want to establish new industries using modern technologies. And if that is foolishness to you then you don't even qualify to be a fool!
 
Back
Top Bottom