Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,604
Nilikuwa mbishi sana na siku zote nimekuwa nikiamini kuwa CCM tutashinda katika uchaguzi mkuu, nimefatilia kwa umakini mkubwa mikutano ya CCM pamoja na mikutano ya UKAWA, kiukweli kabisa CCM TUMEKWISHA.
Lowassa tulikukosea, tulikusingizia mengi na tunafahamu kuwa kuna watu walikuhujumu. Tunakuomba utusamehe urudi nyumbani (CCM). Ni kweli tumefanya makosa lakini adhabu unayotupa hatustahili Lowassa.
Ndugu wana CCM wenzangu popote pale mlipo mjitokeze tumuombe msamaha mheshimiwa Lowassa, mpaka muda huu Lowassa amekwisha chukua nchi, October 25 asubuhi anakabidhiwa na JK.
cc: Lizaboni FaizaFoxy Simiyu Yetu
Hata ukinitukana haitabadili ukweli kuwa sisi wana CCM uchaguzi huu ni ugumu sana kwetu, ukweli unauma lakini tuwe tayari kuupokeaMamluki maku ww
Asante mkuu, mi nipo CCM lakini naona kabisa kuwa uchaguzi huu tumeshindwaWenzako wana macho lakini hawaoni hongera kwa kuliona hilo huo ndio ukweli
Asante mkuu, mi nipo CCM lakini naona kabisa kuwa uchaguzi huu tumeshindwa
Hata ukinitukana haitabadili ukweli kuwa sisi wana CCM uchaguzi huu ni ugumu sana kwetu, ukweli unauma lakini tuwe tayari kuupokea
unapoandika mambo ya ajabu ajabu kama hayo ndiyo unasababisha sisi wanaCCM tuonekane hatuna lolote, october 25 Tanzania itachagua raisi wa facebook? kwani CCM ina mgombea wa uraisi wa facebook? acha kudhalilisha chama mkuuUchaguzi Mgumu wa kuchagua Rais yupi? Wa Facebook au Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,in JPM
kweli katushika pabaya sana mkuu kwakuwa hata mbinu zetu nyingi anazijuaKwakweli Lowasa kawashika pabaya.
kwa hali ilivyo mpaka sasa, Lowassa ndiye raisii mkuu. Najuta sana kuandika ile threadUle uzi wako wa Lowassa hawezi kuwa Rais popote duniani, Utakua uzi bora zaidi baada ya October 25.
We ni mjukuu wa MKAPA? mbona una matusi hivi?Mamluki maku ww
Wana CCM tunawaza sana kwakweliBora wewe umeona mbali hakuna jinsi rais kuwa Lowassa hata Pinda anajua hivyo