MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,004
- 34,909
Nina wasiwasi Benki Kuu na NSSF hali siyo nzuri...............................!!
Unahisi!!!!
Nina wasiwasi Benki Kuu na NSSF hali siyo nzuri...............................!!
Lowasa yuko kimya si kwa kupenda, afya haimruhusu kuongea, huoni hawezi kutoa speech hata kwa dk 3!? Mdahalo ataanzia wapi, si ndo ataaibika kabisa,... mwaka huu mtamsafisha, mtaficha ukweli ila mwisho wenu oct 25
Kwa mwendo huu za escrow zimekwisha nadhani sasa wanapanga kuwauzia wachina gesi!
Anajifilisi mwenyewe na afya mgogoro
Hongereni kumfilisi Lowassa
ila jua wakija kuiingia iyo ikulu wanarudisha yotee.... tena kwa hela ya kodi ya umma..
Acha Tu Wafirisike Maana Hatuna Namna
muulize atakujibuhey, sasa ajifilisi kivipi?
Msizimalizie fedha kwenye kampen Mahospitalin hamna madawa.😛ray2::crying:
Lowassa ni mwizi!