Lowassa Utawafilisi CCM

Lowassa Utawafilisi CCM

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Wanajukwaa,

Mi nawaone huruma sana ndugu zangu wa Ccm, japo wenyewe walikuwa hawana huruma na mimi, ivi ni Kiasi gani wametumia mpaka sasa kuwalipa wasanii?,

je ni kiasi gani wametumia kulipia PRESS CONFERENCE za watu?

dah, Haki ya nani mwaka huu huyu Mzee anawafilisi, mtatoa mpaka hela za mifukoni mwenu alaf mulale njaa.
 
Nina wasiwasi Benki Kuu na NSSF hali siyo nzuri...............................!!
 
mafisiemu Lowassa ndo kiboko yao, halafu ninachompendea baba Lowassa yupo kimya, ila jamaa usiku hakulaliki kwa ajili yake, leo hii maajabu ya dunia chama tawala kinaforce mdahalo, na hatuwapi
 
Kwa mwendo huu za escrow zimekwisha nadhani sasa wanapanga kuwauzia wachina gesi!
 
Hela wanazo nyingi sana ndugu, hiyo migodi yote waliowapa wazungu unafikiri wako tayari kuona ccm inaanguka!!? Kwa maana hiyo wanyonyaji hao wako tayari kutoa kiasi chochote cha fedha ili mradi tu ccm ibakie madarakani ili wao waendelee kutunyonya!
Mgombea wao nae ameanza jana kutumia chopa(ni mali ya ggm)
 
mafisiemu Lowassa ndo kiboko yao, halafu ninachompendea baba Lowassa yupo kimya, ila jamaa usiku hakulaliki kwa ajili yake, leo hii maajabu ya dunia chama tawala kinaforce mdahalo, na hatuwapi

wenyewe waendelee na press conference zao sisi hatuhitaji mdahalo kwa sasa ni wakati wa kampeni.
 
mafisiemu Lowassa ndo kiboko yao, halafu ninachompendea baba Lowassa yupo kimya, ila jamaa usiku hakulaliki kwa ajili yake, leo hii maajabu ya dunia chama tawala kinaforce mdahalo, na hatuwapi

Lowasa yuko kimya si kwa kupenda, afya haimruhusu kuongea, huoni hawezi kutoa speech hata kwa dk 3!? Mdahalo ataanzia wapi, si ndo ataaibika kabisa,... mwaka huu mtamsafisha, mtaficha ukweli ila mwisho wenu oct 25
 
Back
Top Bottom