Lowassa umeturoga?

Yaani mahaba ya Lowassa ni shida, Magufuli mwenyewe kakonda mbaya na mahaba ya Lowassa.
 

Niko mwanza kusalimia wazazi yani hapa nyumbani ni Lowassaaa hadi wachunga ng'ombe na wote wana vichinjio vyao tarehe 25 patakuwa hapatoshi jamani viva lowassa
 

Inawezekana Wengi Wanajitokeza Kwenda Kuhakiki MIKIMBA Anayoishusha Kama Alivyoishusha Sehemu Mbalimbali Za Nchi Japo Alitia Fora Geita Na Chato Huku Tanga Yakimkosakosa Kumtoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…