Mbona unapendwa sana?Kila mahali ni Lowassa na UKAWA,Lowassa mganga wako ni mzungu?Mikutano yako yote watu wanajaa pomoni kwa nini?Hamtumii wasanii(fiesta) kuwavutia watu,mabango yako ni machache sana lakini uko kwenye mioyo ya watu kwa nini?Unafedheheshwa kila siku lakini watu bado wanaimani na wewe,uwe mwizi,fisadi au mgonjwa watanzania wanasema watakuchagua hivyohivyo.Lowassa ,mimi niko kijijini Kisewe wilaya ya Ulanga mkoa wa Morogoro jina lako limetawala sana kwa vijana na wazee.Lowassa umeturoga?Hata mimi navutiwa na wewe lakini sijui kwa nini kwako
Kama kweli ameloga hiyo dawa mimi imeniingia kisawa sawa, siambiwi, sisikii wala sioni... Mahaba niueeee Lowassa huyu daa!
Lowasa ndio mpango wa Mungu
Kama kweli ameloga hiyo dawa mimi imeniingia kisawa sawa, siambiwi, sisikii wala sioni... Mahaba niueeee Lowassa huyu daa!
Fanya Kazi ule Maisha ,hayo mengine yanakupotezea Muda,
Kwa sababu yupo frimason ndicho maana anapendwa sana pamoja na kujinyea atakoma na nchi hapati
Kama kweli ameloga hiyo dawa mimi imeniingia kisawa sawa, siambiwi, sisikii wala sioni... Mahaba niueeee Lowassa huyu daa!
hoja hapa ni KURA si tu kwa kujaza mikutano kukubalika ni KUPATA KURA nyingi haina maana kujaza mkutano NA usipate KURA.mkisomba WATU lazima mtajaza
Arie Power. Babu Lai. Umenichekesha sana. Ushindi saa 2 Asubui, Babu Lai.