Lowassa, umeamua kuwa na busara?


Do you know the cost of it?
 

Mbona hakuwa na busara kipindi anakatwa?
 
Lowasa hakuna aliyemwibia kura Lowasa anaweza ufisadi tu mengine hayawezi hata siku moja ufisadi nao mwisho sasa kazi tu.

Andika kwa vituo basi ndugu yangu, wewe si ni mtu mzima kabisa? Mbona unaandika kama std seven?
 

Mkuu ahadi gani? Zile za Elimu, Elimu, Elimu? Nawapenda bodaboda na mama ntile? Wake up buddy, you are loosing
 
kwakweli busara hasara..bora nisiwe nazo kama ni hizi za kuonewa na kukaa kimya..
 
Sio busara, jamaa ni dhaifu mno kimwili na kiakili,hapo alipo anapelekeshwa na Mbowe tu
 
Hivi si mlitangaza maandamano nchi nzima yaliishia wapi?????????????????????????????????????????????????????
 

Acha uchizi fisadi wewe na roho yako mbaya
 
Lowassa alishindwa kihalali na anajua huu ndio mwisho wa ndoto zake za kuwa rais wa JMT. Pia anaelewa vurugu haziwezi kumfanya yeye atangazwe kuwa rais. Ndio maana kaamua kutulia ale pensheni zake X PM na alinde ka heshima kidogo kalikosalia
 
Jamani uchaguzi umekwisha na tulishasema kuna maisha baada ya uchaguzi, sasa hivi tufanyeni kazi huu umbwiga mnaoendekeza hauna tija.
 
The forsaken truth is just revernging now.Ndo basi tena.
 
Sio busara, jamaa ni dhaifu mno kimwili na kiakili,hapo alipo anapelekeshwa na Mbowe tu

Tangu lini Mbowe amekuwa mtu wa busara hivi? That means patience in decision? Fearing to take action accordingly?
 
Mh. Lowassa nimesikia tamko lako, Police wasipochukua hatua kwa wauaji wa kamanda Mawazo, Ukawa watachukua hatua. Angalau umerejea kwenye harakati. Lakini ulitakiwa uende mbali zaidi ya hapo, ungewapa police deadline, kama hawatachukua hatua ndani ya kipindi cha siku thelathini, kwa mfano.... hapo ungetisha zaidi. And you mean it...
 
tatizo wenye nchi hawakutaka lowasa awe rais ingawa wananchi walitaka awe rais wao...
 

si uende sasa! na kwanini usubiri hadi hiyo oktober 30 mwakani. kachukue hiyo kadi ya ccm leo uone kama iko chama unahama kitazoofika. ninachojua hatupungukiwi ubunifu hata siku moja huku! vijikosa vipo ndiyo; kuna binadamu aliyekamilika?
 
hivi mh.lowassa huwa anaingia humu?natamani azione comments za humu maana hili jambo linaniumiza sana najihisi km mtoto nilietelekezwa porini!!!!
 

Nimeupenda ujumbe wako mtumishi. ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…