Lowassa, Ukawa wameshashinda, hali kama ndio hii, It is TIME for CHANGE

Lowassa, Ukawa wameshashinda, hali kama ndio hii, It is TIME for CHANGE

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
18,535
Reaction score
20,732
Jamaniii jamaniii...nimehakikisha...!!!

Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake, except Mungu tu...

Mwisho wa CCM ushafika rasmi, huhitaji akili au level fulani ya usomi kujua haya...

Kila kona, kila mtaa, kata, jimbo, wilaya, mkoa, bara na visiwani, kila RAIA ni UKAWA TU, LOWASSA TU...hadi watoto ambao hawawezi piga kura, ni Lowassa, Ukawa tu...

Lowassa, Ukawa, it went VIRAL, yaani ni balaaa, sio boda boda, machinga, mama ntilie, waalimu, BAVICHA, UVCCM, UWT, BAWACHA, wafugaji, wakulima, wafanyakazi serikalini, WANA CCM kwa maelfu wanahamia UKAWA though hawapati AIR TIME COVERAGE, wafanyabiashara, CUF, CDM, wana Vyuo, wasomi, vijijini...mijini..kila kona, ni LOWASSA, UKAWA...

It is TIME for CHANGE... i see it coming, it is clear now, wananchi, umma, umeamua...No way, no how, no going back, THE OLD GRAND PARTY, CCM is DEAD, just because TIME for CHANGE has come, watu wamekichoka tu, ni miaka 50 hakuna walichofanya, wamezidisha umaskini, maisha magumu, wizi mkubwa, tembo wanaisha, wanyama hai kuuzwa hovyo, madini yanaibiwa, elimu imekuwa ghali kama dhahabu etc... byee byee CCM....for good..!!

Sasa yametimia, nimejiridhisha, Lowassa, Ukawa ndio WANASHINDA KWA KISHINDO cha ajabu, kweli nyakati zimebadilika...

Mungu ibariki UKAWA, Mungu mbariki LOWASSA, Mungu wabariki watanzania...!!!!

IT IS TIME FOR CHANGE...!!!
 
Taarifa za mchana huu kweli unazo? UKAWA umezikwa leo peacock hotel.
 
Lipumba bado mwanachama halali wa CUF...kaachia uenyekiti tu...sijui hamuelewi..!? Yuko CUF bado, na mtiifu kwa UKAWA....huenda anataka kugombea Ubunge, huwezi jua mikakati ya UKAWA..
 
Back
Top Bottom