Lowassa timiza ahadi yako ya Kuchunga ng'ombe

Lowassa timiza ahadi yako ya Kuchunga ng'ombe

LOWASSA ACHA KUPOTOSHA UMMA,
PUMZIKA AU TIMIZA AHADI YA KUCHUNGA.
Aliyekuwa mgombea wa urais kupitia
Chadema, Ndg. Edward Lowassa siku ya jana
akihutubia mkutano wa hadhara kata ya Mto
wa Mbu alitoa tuhuma kadhaa kwa chama
cha mapinduzi na serikali yake.
Baadhi ya madai ambayo ameyasema, ni
kuwa wapo watu wanaozunguka kutaka
kuwahonga madiwani wa chadema milion
ishirini(20,000,000/=).
Tungependa atumie jukwaa kuwataja hao
anaodai kuwa wanapita kuwahonga hizo pesa.
Tungependa kumwambia kuwa chama cha
mapinduzi hakina huo muda wa kuwahonga
hao madiwani. Atuambie hao madiwani
wanahongwa kwa lengo lipi? Na hizo pesa
zinatoka wapi?
CCM imeshinda madiwani na wabunge wengi
kuliko chama chochote kile. Sisi tunaamini
alichokifanya Lowassa ni siasa uchwara za
majukwaani. Kwani anajua fika hakuna jambo
kama hilo. Huo ni mwendelezo wake wa
maigizo ambayo tayari watanzania
washayajua tayari.
Watanzania wanajua dhamira ya dhati ya
serikali ya awamu ya tano katika mapambano
dhidi ya rushwa, ufisadi, uzembe na
udanganyifu. Kwa hali ya nchi ilivyosasa hizo
pesa zote anazodai zitatoka wapi? Ni vema
akawa mkweli mana utamuweka huru.
Pia, Lowassa anadai Chama chake kilishinda
uchaguzi mkuu wa 2015 ni dhuluma ilifanyika
dhidi yake. Tungependa kumhakikishia kuwa
CCM ilishinda kihalali kuanzia madiwani,
wabunge na rais. Ushindi wa rais ni 62% ya
kura zote. Waangalizi huru wa ndani na nje
walithibitisha kwa ripoti zao bila shaka
yoyote. Pia, awali tuhuma hizi zilitolewa na
Chadema kuwa wanaushahidi wa kutosha
kuuthibitishia umma kuwa waliibiwa kura,
lakini mpaka sasa wameshindwa kuonyesha
hjo ushahidi wao. Hivyo basi, tunaamini
anachokifanya lowassa ni muendelezo wake
wa maigizo. Tunapenda aseme ukweli kwa
wanachama wao na watanzania sababu ya
wao kushindwa. Ni dhahiri kuwa sababu
kubwa ya kushindwa kwa chadema ni
kutoaminika na watanzania walio wengi na
mambo mengi ambayo ni dhahiri ilipelekea
wao kushindwa.
Kauli aliyoitoa jana kudai kuwa Chadema
imeishika pabaya CCM ni uongo uliopitiliza.
Sisi tunaamini kazi ya kutafuta ushindi wa
2020-2025 imeshakamilika tayari. Kasi ya
serikali ya awamu ya tano katika
kuwahudumjia watanzania na dhamira ya
dhati aliyonayo Rais wetu mpendwa John
Pombe Magufuli ni kielelezo tosha cha
ushindi. CCM ina kazi moja tu ya kuhakikisha
inasimamia utekelezwaji ea ilani yake ya
2015-2020. Tunapenda kumhakikishia
watanzania wanajua ukweli ni upi na maigizo
ni yapi. Tunamhakikishia 2020 ushindi
utakuwa zaidi ya 80%.
Lowassa amejinasibu jana kuwa kitendo chake
cha kukaa kimya ndicho kilichopelekea nchi
kuwa katika amani tulinayo sasa. Tunapenda
kumkumbusha kuwa hiyo sifa anazozitaja ni
kwasababu tu ya malezi bora yaliyotukuka
aliyoyapata akiwa CCM tangu alipozaliwa
mpaka hivi sasa. Kwanza wanapaswa
kuipongeza CCM, lakini pili anapaswa
kutambua kuwa amani iliyopo imetokana na
mungu kuzidi kuipenda Tanzania yetu. Mhimili
mwingine wa amani ya Tanzania ni waasisi
wa taifa hili Hayati Baba wa taifa Julius
Nyerere na Abeid Karume. Hivyo, kitendo cha
yeye kujitukuza ni muendelezo wa siasa zake
maigizo.
Lakini tunampongeza pia kwa kutambua na
kuwaeleza ukweli Chadema si chama cha
kisiasa bali ni chama cha kiuanaharakati
ambacho hakina dira ya kuliongoza taifa letu.
Kwakuwa ameliona hilo na kuamua
kuwabadilisha kimfumo tunamsihi sana
chama chao kijikite zaidi katika siasa za
maendeleo na sio majungu na vurugu ambazo
zimewafanya kutokuaminika kwa miaka yote
24.
Mwisho, tunapenda kuwasihi watanzania wote
kupuuza aina yoyote ya uchochezi ambao
unafanywa na chadema. Kwakuwa muda wa
uchaguzi umekwisha, muda uliopo ni
wakufanya kazi tu ili tulete maendeleo yetu.
Vijana wa Chama cha mapinduzi hatutakubali
kumvumilia yeyote ambaye atataka kulivuruga
taifa letu. Tunamwambia tutakula naye
sahani moja.
Tufanye kazi kwa bidii kuunga jitihada za rais
wetu.
Hapa kazi tu.
We hukumwelewa Lowassa alisema akishindwa ndo ataenda kuchuunga ng'ombe . kwan alishindwa ? Mimi naamini alishinda kwahyo hana haja ya kuchuunga wakati alishinda uchaguz ila time haikumtendea haki
 
LOWASSA ACHA KUPOTOSHA UMMA, PUMZIKA AU TIMIZA AHADI YA KUCHUNGA.
Aliyekuwa mgombea wa urais kupitia Chadema, Ndg. Edward Lowassa siku ya jana akihutubia mkutano wa hadhara kata ya Mto wa Mbu alitoa tuhuma kadhaa kwa chama cha mapinduzi na serikali yake.
Baadhi ya madai ambayo ameyasema, ni kuwa wapo watu wanaozunguka kutaka kuwahonga madiwani wa chadema milion ishirini(20,000,000/=).
Tungependa atumie jukwaa kuwataja hao anaodai kuwa wanapita kuwahonga hizo pesa. Tungependa kumwambia kuwa chama cha mapinduzi hakina huo muda wa kuwahonga hao madiwani. Atuambie hao madiwani wanahongwa kwa lengo lipi? Na hizo pesa zinatoka wapi?
CCM imeshinda madiwani na wabunge wengi kuliko chama chochote kile. Sisi tunaamini alichokifanya Lowassa ni siasa uchwara za majukwaani. Kwani anajua fika hakuna jambo kama hilo. Huo ni mwendelezo wake wa maigizo ambayo tayari watanzania washayajua tayari.
Watanzania wanajua dhamira ya dhati ya serikali ya awamu ya tano katika mapambano dhidi ya rushwa, ufisadi, uzembe na udanganyifu. Kwa hali ya nchi ilivyosasa hizo pesa zote anazodai zitatoka wapi? Ni vema akawa mkweli mana utamuweka huru.
Pia, Lowassa anadai Chama chake kilishinda uchaguzi mkuu wa 2015 ni dhuluma ilifanyika dhidi yake. Tungependa kumhakikishia kuwa CCM ilishinda kihalali kuanzia madiwani, wabunge na rais. Ushindi wa rais ni 62% ya kura zote. Waangalizi huru wa ndani na nje walithibitisha kwa ripoti zao bila shaka yoyote. Pia, awali tuhuma hizi zilitolewa na Chadema kuwa wanaushahidi wa kutosha kuuthibitishia umma kuwa waliibiwa kura, lakini mpaka sasa wameshindwa kuonyesha hjo ushahidi wao. Hivyo basi, tunaamini anachokifanya lowassa ni muendelezo wake wa maigizo. Tunapenda aseme ukweli kwa wanachama wao na watanzania sababu ya wao kushindwa. Ni dhahiri kuwa sababu kubwa ya kushindwa kwa chadema ni kutoaminika na watanzania walio wengi na mambo mengi ambayo ni dhahiri ilipelekea wao kushindwa.
Kauli aliyoitoa jana kudai kuwa Chadema imeishika pabaya CCM ni uongo uliopitiliza. Sisi tunaamini kazi ya kutafuta ushindi wa 2020-2025 imeshakamilika tayari. Kasi ya serikali ya awamu ya tano katika kuwahudumjia watanzania na dhamira ya dhati aliyonayo Rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli ni kielelezo tosha cha ushindi. CCM ina kazi moja tu ya kuhakikisha inasimamia utekelezwaji ea ilani yake ya 2015-2020. Tunapenda kumhakikishia watanzania wanajua ukweli ni upi na maigizo ni yapi. Tunamhakikishia 2020 ushindi utakuwa zaidi ya 80%.
Lowassa amejinasibu jana kuwa kitendo chake cha kukaa kimya ndicho kilichopelekea nchi kuwa katika amani tulinayo sasa. Tunapenda kumkumbusha kuwa hiyo sifa anazozitaja ni kwasababu tu ya malezi bora yaliyotukuka aliyoyapata akiwa CCM tangu alipozaliwa mpaka hivi sasa. Kwanza wanapaswa kuipongeza CCM, lakini pili anapaswa kutambua kuwa amani iliyopo imetokana na mungu kuzidi kuipenda Tanzania yetu. Mhimili mwingine wa amani ya Tanzania ni waasisi wa taifa hili Hayati Baba wa taifa Julius Nyerere na Abeid Karume. Hivyo, kitendo cha yeye kujitukuza ni muendelezo wa siasa zake maigizo.
Lakini tunampongeza pia kwa kutambua na kuwaeleza ukweli Chadema si chama cha kisiasa bali ni chama cha kiuanaharakati ambacho hakina dira ya kuliongoza taifa letu. Kwakuwa ameliona hilo na kuamua kuwabadilisha kimfumo tunamsihi sana chama chao kijikite zaidi katika siasa za maendeleo na sio majungu na vurugu ambazo zimewafanya kutokuaminika kwa miaka yote 24.
Mwisho, tunapenda kuwasihi watanzania wote kupuuza aina yoyote ya uchochezi ambao unafanywa na chadema. Kwakuwa muda wa uchaguzi umekwisha, muda uliopo ni wakufanya kazi tu ili tulete maendeleo yetu.
Vijana wa Chama cha mapinduzi hatutakubali kumvumilia yeyote ambaye atataka kulivuruga taifa letu. Tunamwambia tutakula naye sahani moja.
Tufanye kazi kwa bidii kuunga jitihada za rais wetu.
 
lowasa hasahauliki kirahisi,hv mnajua watu waliokwisha kisiasa?Nani anamsikia wasira walau kusemwa hata kwa baya?Wasira ndio kaisha kisiasa,ila unapokuja kwa Lowasa kila siku humu watu wanamuota.
 
Maelezo marefu nimeshindwa hta kusoma maana toka nimeanza kusoma nimeona ni upuuzi 2 nimeona niishie pale uliposema kuwa lowasa anadai kuwa chama chake kilishinda ila alichakachuliwa.

Hivi wewe ni nani kuhakikisha kuwa CCM walishinda au hpana. Na Unaweza muhakikishia nani akakukubali?

iN SHORT YOU ARE NO BODY

Na kama Lowasa anatangaza hbar za uongo na uchochezi TCRA inabidi wamchukulie hatua ili atoe ushahidi kama kashinda kweli na ni kitu ambacho CCM hwawezi fanya maana lowasa anatafuta platform ya kutoa ushahidi wake lakini CCM hwawezi mpa chance maana wanajua walichokifanya uchaguz mkuu.[/QUOTA sisi sio nyumbu wenzio kwani tunaupeo wa kufikiria wew..... Huo ushahidi unasubiri mpaka hao sisiemu wamtie vidole vya Matako au...????? Maana Kama ushahidi upo ninaimani angeutoa mapema sana anachosubiria ni nin...???
 
Back
Top Bottom