Lowassa, Sumaye watoteshwa Dodoma

"Kikwete aliwabatiza upinzani kwa maji na Magufuli atawabatiza upinzani kwa moto" Makamba Sr, 23 July 2016
 
Ukitaka usifuatwe na nzi tupa mzoga!!

Mzoga uko UKAWA na nzi wamewazingira...kudadadeki ila Mpendazoe mbaya wewe???!!
 
Wenzetu Democrats na Republicans ni rahisi sana kupinga chochote ukiwa ndani ya chama na ukabaki salama.

Kwetu ili upinge chochote ndani ya chama lazima utoke kwanza maana hutakuwa salama haijalishi ni CCM, ACT, CDM mifano halisi mnaijua.

Kwa ufupi Africa DEMOCRCY bado sana sana sana sana.
 
Bila kumzungumzia Lowassa kusingenoga... Jamaa ana nyota Fulani ya kusisimua japo huwa ni ya muda mfupi... Alipojiuzulu nchi ilitikisika kama tetemeko la ardhi... Zilisikika shangwe nakumbuka ilikuwa mida ya jioni
 
Aliyesema hangevumilia watu walioimba wana imani na mtu fulani sina hakika kama atayavumilia majibu ya mashambulizi yote hayo. Watu wazima wanaongea mipasho ya kitoto...
 
Makamba alinifurahisha alipomwambia Magufuli asiogope kupingwa,,,, alisema, " Ubani lazima uchomwe ndipo upate soko, na wewe ukubali kuchomwa ndipo utauzika".
 
Wakati watoka sisimu.waliwaita makapi.sasa makapi yakirudishwa ktk nafaka itafaa kwa matumizi ya binadamu.au itafaa kwa mifugo.
 
Bila kumzungumzia Lowassa kusingenoga... Jamaa ana nyota Fulani ya kusisimua japo huwa ni ya muda mfupi... Alipojiuzulu nchi ilitikisika kama tetemeko la ardhi... Zilisikika shangwe nakumbuka ilikuwa mida ya jioni
Alipojiuzulu nchi ilizizima kwa kuwa tulifurahia fisadi katoka.
 
Mbona mh Mama Dr Rose migiro alikuwa na cheo kikubwa Tena pale HQ UN hila sasa cjui ni baloz wa wap tena chini ya ktbu mkuu pale wizaran

Weken akiba ya maneno jaman
 
Simple minds discuss people. Shame oj them.
 
Ccm haiwezi kuongea yakakamilika wasemayo bila kutaja ukawa! Ukiona unatajwa sana na yule anayetumia maguvu mengi kukuziba mdomo usimjibu, jua huyo ana madhambi makubwa zaidi
 
Mbona mh Mama Dr Rose migiro alikuwa na cheo kikubwa Tena pale HQ UN hila sasa cjui ni baloz wa wap tena chini ya ktbu mkuu pale wizaran

Weken akiba ya maneno jaman
Hii inaitwa nyani haoni kundule!!
 
Ulipochemsha uliposema Fred Mpendazoe ni kigogo wa Chadema nikakutoa maana kabisa, nikijua unaandika mahaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…