wANA JF, NIMESHINDWA KUMWELEWA HUYU NDUGU KUWA ALIKUWA NA AKILI TIMAMU AU LA, NIMESHINDWA KUELEWA JINSI ANAVYOISIFIA RICHMIOND KAMA NDIYE YEYE KWELI ALISEMA KAONEWA. hABARI KAMILI, TIZAMA TBC1 SAA 2 NA NUSU USIKU HUU MAOJIANAO NA TIDO MUNDA YATARUSHWA LIVE. mLIOKO NYUMBANI TUJUZENI BAADA YA KUTAZAMA
NAJISIKIA UCHUNGU SANA .
Lowassa hakuitaji tume wala nini; alitakwa kujiuzulu kabla hata tume haijaundwa.
wANA JF, NIMESHINDWA KUMWELEWA HUYU NDUGU KUWA ALIKUWA NA AKILI TIMAMU AU LA, NIMESHINDWA KUELEWA JINSI ANAVYOISIFIA RICHMIOND KAMA NDIYE YEYE KWELI ALISEMA KAONEWA. hABARI KAMILI, TIZAMA TBC1 SAA 2 NA NUSU USIKU HUU MAOJIANAO NA TIDO MUNDA YATARUSHWA LIVE. mLIOKO NYUMBANI TUJUZENI BAADA YA KUTAZAMA
NAJISIKIA UCHUNGU SANA .
Lowassa hakuitaji tume wala nini; alitakwa kujiuzulu kabla hata tume haijaundwa.
Hapo ndipo Lowassa anaponyimwa haki yake. Kwanini basi tume iliundwa?. Kwanini tume iliweza kuwaita na kuwatembelea wahusika wote wa nje na ndani ya Tanzania na kumwaacha Lowassa aliyekuwa na ofisi mtaa pili tu toka ofisi ya tume hiyo?.
Jamani, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Welldone Lowassa, kaza buti mpaka kieleweke.
Lowassa ana kila haki kutafuta haki yake katika hili jambo. Nimekuwa nikiwaeleza hapa jamvini toka mwanzo kwamba Lowassa alionewa katika hili suala, hakupewa muda kabisa wa kujieleza mbele ya tume ya Mwakyembe. Tume ya Mwakyembe ilikuwa na madaraka ya kumuita mtu yeyote bila kujali cheo, rangi, kabila wala mali kwani ilipewa mamlaka hayo na Mkuu wa nchi.
Kwanini tume Iliweza kuwasikiliza na kuwatembelea watuhumiwa wote isipokuwa Lowassa?. Jamani huwezi kumuhukumu mtu bila kumsikiliza ama kumpa nafasi ya kujieleza. Na ningeomba muelewe kwamba uzuri wa shillingi ni kuiangalia pande mbili na wala si pande moja. Welldone Lowassa.
Good questionsKwanini alijiuzuru wakati anajua anasimamia ukweli?
No matter how the issue is ? we real need Lowassa to expose each and every thing out, Kwani Richmond walishazika Mbungeni bila kujua Mkosaji ni nani, itakuwa jambo lamaana kama Lowassa atasema ukweli.wANA JF, NIMESHINDWA KUMWELEWA HUYU NDUGU KUWA ALIKUWA NA AKILI TIMAMU AU LA, NIMESHINDWA KUELEWA JINSI ANAVYOISIFIA RICHMIOND KAMA NDIYE YEYE KWELI ALISEMA KAONEWA. hABARI KAMILI, TIZAMA TBC1 SAA 2 NA NUSU USIKU HUU MAOJIANAO NA TIDO MUNDA YATARUSHWA LIVE. mLIOKO NYUMBANI TUJUZENI BAADA YA KUTAZAMA
NAJISIKIA UCHUNGU SANA .
No matter how the issue is ? we real need Lowassa to expose each and every thing out, Kwani Richmond walishazika Mbungeni bila kujua Mkosaji ni nani, itakuwa jambo lamaana kama Lowassa atasema ukweli.