Mimi simpendi hata kumuona fisadi mwizi huyu.Sio lazima umuamini infact majority wanampenda na kumuamini.
Unapoteza muda budahhhhhhh
Mimi simpendi hata kumuona fisadi mwizi huyu.
Kipaumbele cha
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
Ndio maana anang'ang'ania elimu anajua watanzani bado wajinga kwa alivyowaibia ikulu sio bilcanas au club iwe rahisi kuiongoza
Nani amchague mmiliki wa Wadokozi Ltd? 'sintanie!
Bla bla unarudia ngonjera za mahafali hapa, kama unasikia kichefuchefu kalambe ndimu, swine.
Hakuna mtu wakutuaminisha lowasa ni mchafu kuliko waliobaki CCM na CCM yenyewe, labda mtuambie wote hawafai tumpe mama anna wa ACT au Hashimu Rungwe wa Chauma.
Lakn kumponda lowasa ili tuikubali CCM ni UJINGA